Natafuta mke

Natafuta mke

Nipo dar na nahitaji mwanamke wa kuanzisha naye mahusiano ambaye atakuwa mke wangu. Muhimu awe mkweli na muamunifu na umri wake usiZidi miaka 54 Mimi umri wangu ni miaka 60 na tuwasiliane basi tuweze fahamiana
kwanza nikupe hongera mkongwe mwenzangu japo mi ni mdogo kwako kwa uamuzi wa kutafuta mwenza wa kuanzisha maisha. Wapo wamama wengi tu wanahitaji wenza, zama na huko unakosali utawapata
 
Eeeh, nasema ukweri kabisa Jo, ukigusa tu utelezi wa kutosha, sijajua kama libido inaongezeka au niaje😅
Kama umri na vigezo vinaruhusu jaribu bahati mama.
Upo sahihi,umri unavyosonga ndio unavyoexprience ladha ya hiyo kitu...hapana Siwezi jaribu maana Nina Mzee mwenzie hapa nataka kumrusha Sandakarawe
 
Upo sahihi,umri unavyosonga ndio unavyoexprience ladha ya hiyo kitu...hapana Siwezi jaribu maana Nina Mzee mwenzie hapa nataka kumrusha Sandakarawe
Hata hivyo huyo wa 60+ ni mbali kidogo kwako, we unatakiwa kuja kwetu sie wa hapa kati😀😀😀😀😅nimecheka sana!!
 
Unataka tabia gani kwa mwanamke wa 35+? Akitaka kutulia anatulia tu, kama bado ana michezo ya hovyo basi tena..
Hii sentensi yako Ina ujumbe mzito sana.....basi Kila lakheri Kwa braza
 
Huu uzi unaonyesha wazee wa 40+ tumejaa humu, tuanzishe uzi wetu kabisa, vijana wote wapigwe block wasiweze kuchangia😀
 
Hata hivyo huyo wa 60+ ni mbali kidogo kwako, we unatakiwa kuja kwetu sie wa hapa kati😀😀😀😀😅nimecheka sana!!
Nyie ndio watamu Sasa🤣🤣🤣Yaani mna kavibe ka ujana,halafu mna kavibe flan kakukaribisha uzee!maisha yanakuwa na msisimko😋
 
kwanza nikupe hongera mkongwe mwenzangu japo mi ni mdogo kwako kwa uamuzi wa kutafuta mwenza wa kuanzisha maisha. Wapo wamama wengi tu wanahitaji wenza, zama na huko unakosali utawapata
Hajasema dini yake, labda huwa hasali popote.
 
Dada umeamka na hangover za jana..??
Papa ndo nini? 😂😂😂😂
🤣🤣🤣Kwani gigy money si ndio anaimbaga Nampa papa na ugali wa dona🤣🤣🤣papa nahisi atakuwa samaki
 
Back
Top Bottom