Natafuta mke

Natafuta mke

awe na kazi? we kazi unayo au mtatumia ya mkeo😂


kila la heri mwaya, Mungu akupe unachostahili
Yeye si ana miaka 36 jamani!! Lakini pia bonus ni ana mama na ndugu😜
 
Hii mbinu naweza kuitumia kupata mademu humu? Nikafajifanya naoa, nusu saa pm imenona pisi kadhaa zinanitaka
 
Back
Top Bottom