Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Na najishauwa kweli 😂😂😂Alaaaa basi endelea kujishauwa 🥱
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na najishauwa kweli 😂😂😂Alaaaa basi endelea kujishauwa 🥱
Aiseee haya Wewe ringa tu but utajutaNa najishauwa kweli 😂😂😂
Sasa nijute nini?? Kuolewa sio kipaumbele changu sipendi kuwa mtumwa wa mtu 🤣🤣🤣Aiseee haya Wewe ringa tu but utajuta
Yeye si ana miaka 36 jamani!! Lakini pia bonus ni ana mama na ndugu😜awe na kazi? we kazi unayo au mtatumia ya mkeo😂
kila la heri mwaya, Mungu akupe unachostahili
unaolewa unapata mama mkwe kama bonusYeye si ana miaka 36 jamani!! Lakini pia bonus ni ana mama na ndugu😜
Kabisa.unaolewa unapata mama mkwe kama bonus