Natafuta mke

Mkuu, kama upo serious kweli kweli na unamaanisha emu nichek PM nikupe direction moja nzuri utanishukuru.

Bare in mind sihitaji chochote toka kwako ila kama ni muhuni tu wa mtaani usinitafte, tutakosana.

Sent from my SM-G998U using JamiiForums mobile app
 
Sio hadi zivu liote mvi?๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ manake kope tayari, aah nyie watu mmekuwa wajuaji sana, tumechoka!
Vzzzz si kitu, kope ndio mchoko wa maana.....
Ndo vizuri bro bendera chuma mlingoti chuma ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Age hiyo bado watoto sana. Utaumia,pia wako Instagram,fb na tiktok saa hii
 
Una matatizo gani mengine?
 
ukishiriki kikamilifu kwenye ibada, misa, maombi na maombezi. warsha seminar na makongamano mbalimbali ya viijana na vijana wenzio.

na ukiwa una nia ya dhati kabisa na umemshirikisha Mungu kinagaubaga.
Basi ni hakika bila mbambamba Mungu atamtuma huko unaemuhitaji na kirahisi sana mtakutana mtaelewana mtaenda kujivinjari mpaka kifo kiwatenganishe ๐Ÿ’

kumbuka, yupo mdada nae anaekutafuta....

hembu toka ndani huko ulikojifungia na usijifiche sana nyuma ya keyboard na Mungu akubariki sana,
Aimen ๐ŸŒน
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ