Natafuta Mke

Me naweza kuchangia idea and how to spend money
Idea nini if huwezi kuifanya ikaleta unachotamani?. Ulimwengu umevuka huko bidada.... Hata matajiri wanatafuta wanawake wanaoweza kufanya kazi. Tafuta pesa zako ufanye starehe πŸ˜‚
 
Idea nini if huwezi kuifanya ikaleta unachotamani?. Ulimwengu umevuka huko bidada.... Hata matajiri wanatafuta wanawake wanaoweza kufanya kazi. Tafuta pesa zako ufanye starehe πŸ˜‚
Ndo maana sipendi mawazo ya masikini

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Reactions: Exy
Kwa umri limit hiyo sijui kama utaweza kupata mke jf , wengi ni mijimama usidanganyike na avatar zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…