Natafuta Mke

Natafuta Mke

Me naweza kuchangia idea and how to spend money
Idea nini if huwezi kuifanya ikaleta unachotamani?. Ulimwengu umevuka huko bidada.... Hata matajiri wanatafuta wanawake wanaoweza kufanya kazi. Tafuta pesa zako ufanye starehe 😂
 
Idea nini if huwezi kuifanya ikaleta unachotamani?. Ulimwengu umevuka huko bidada.... Hata matajiri wanatafuta wanawake wanaoweza kufanya kazi. Tafuta pesa zako ufanye starehe 😂
Ndo maana sipendi mawazo ya masikini

😂😂😂
 
  • Kicheko
Reactions: Exy
Kwa umri limit hiyo sijui kama utaweza kupata mke jf , wengi ni mijimama usidanganyike na avatar zao
 
Back
Top Bottom