Natafuta Mke

Natafuta Mke

Mke hatafutwi huletwa na Mungu maishani na Muda ukifika huondolewa na Mungu mwenyewe na kuletewa mwingine au mitara !!

Kutafuta make humu ni kubet tu!huyo ulie nae kitaa unapoza poza ndio huyo huyo!usitarajie makubwa coz ke wote wanafanana"WOTE WANATARAJIA KUPOKEA MATUNZO ILI WATOE PENZI AU UKE WAO" Wanatofautiana maumbile tu lakini fikra na akili ndio hiyo hapo!
Kwenye maumbile hapo hapo naomba ongeza sauti na ongea kwa kisukuma
 
Humzidi uzuri hata Bantu Lady ila unaleta mashauzi unataka matajiri ambao hawajui hata kupiga mbili vizuri😂😂🤭.
Don't you dare compare me to your girls no one can play *me *more than I can do fata huyo bantu lady😆
 
  • Kicheko
Reactions: Exy
Back
Top Bottom