Natafuta mke

Mpilipili

Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
28
Reaction score
12
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 35. Natokea Moshi. Nimeajiriwa na pia ni Mjasiriamali. Nitafuta mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo.
1. Mtanzania
2. Umri miaka kati ya 25 hadi 30
3. Elimu, chuo kikuu
4. Awe na afya nzuri na awe tayari for medical check up

Mwenye sifa hizi, awasiliane nami.
 
duh! nimekosa!! sina sifa hizo miye!
 
Ile digrii yako ya kutengeneza Loshoroo na Kitalolo si ndio wakati wake huu ikusaidie kupata mdosi wa Kichaga

mh!kwa digree niliyonayo
labda nipate kazi kwny club ya mbege!
 
Mtafuto mwema bro...ila ungesogea hapo 'love connect' ungewapata wengi!
 
Sasa changamkia ofa hii....suala la umri niachie mimi nitaongea na watu wa RITA.
Halafu hiyo digirii tutaiverifai kule TCU.

sawa master plan
ngoja niwasiliane na mleta mada mie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…