Natafuta mkopo, riba natoa laki tano baada ya masaa mawili

Tapeli-mzamiaji kama jina lako......
unaitajika Mkopo wa milioni 30,riba laki tano baada ya masaa mawili,
tutaenda wote bandarini na document zote,utalipia Mzigo,una thamani kubwa tu,ukishatoka bandarini tayari utafika mpaka Dukani kwangu na wewe ukiwepo kwenye kila kitu,kabla utajiridhisha vizuri na document na Maelezo na leseni ya biashara husika jinsi utakavyo ,baada ya kuutoa Pesa yako yote itarudi na riba ya laki tano,bila longo longo yeyote,kwa Maelezo zaidi kwa aliye tayari tuwasiliane pm
 
Kwa nini usisubirie hayo masaa mawili ya Riba uchukue hiyo milioni 30 yako uende bandarini kutoa mzigo wako na hiyo laki tano unayosemea ukafanyie mambo yako mengine?
 
Back
Top Bottom