Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
Usipopata mteja je.haujanielewa vizuri,baadavya kuuza Mzigo ndio Pesa yote itarudi na hapo hapo atachukua chake,
naona wengi hamjanielewa au ndo tatizo lako kila kitu unachukulia negativeTapeli-mzamiaji kama jina lako......
Aiseeh huyu jama wewe unamuelewa[emoji849][emoji849][emoji849]aisee!
Mzigo una chuliwa na zaid ya mtu mmoja lazima uchukuliwe,thamani ya Mzigo tu vyote Viki kwenye maandishi risiti zote zipo sasa mtu atatapeliwaje na yeye yuko apo apo kila kitu anajionea?Usipopata mteja je.
Na kama tayari yupo why yeye asikukopeshe?
Hii betting yako kiboko[emoji849][emoji849]Mzigo una chuliwa na zaid ya mtu mmoja lazima uchukuliwe,thamani ya Mzigo tu vyote Viki kwenye maandishi risiti zote zipo sasa mtu atatapeliwaje na yeye yuko apo apo kila kitu anajionea?
mwanzon nlidhan hana hiyo milion 30 anachotaka ni hiyo 30M ili atoe mzigo wake bandariniAiseeh huyu jama wewe unamuelewa[emoji849][emoji849][emoji849]
Na mimi niliwaza hivyomwanzon nlidhan hana hiyo milion 30 anachotaka ni hiyo 30M ili atoe mzigo wake bandarini
baadae nikajiuliza akiutoa bandarini atamuuzia nani mzigo wa 30M apate faida arudishe kwa aliye msaidia na riba yake? ndani ya hayo masaa mawili?
kwanini asitafute mteja/wasiende na mteja wauziane hapo bandarini ili achukue chake
Kwahyo usipouza ameliwa ha ha ha, unafeli sana.haujanielewa vizuri,baadavya kuuza Mzigo ndio Pesa yote itarudi na hapo hapo atachukua chake,
thamani ya Mzigo ni kubwa zaidi ya hiyo 30 ,yani apo hiyo ni ya kujazia tu,nadhani sasa utakua umenielewa mkuumwanzon nlidhan hana hiyo milion 30 anachotaka ni hiyo 30M ili atoe mzigo wake bandarini
baadae nikajiuliza akiutoa bandarini atamuuzia nani mzigo wa 30M apate faida arudishe kwa aliye msaidia na riba yake? ndani ya hayo masaa mawili?
kwanini asitafute mteja/wasiende na mteja wauziane hapo bandarini ili achukue chake
ataliwaje mkuu,yani ata iweje lazima uuzike,order zipo tayari za Wateja wa huakika hiyo ni ya kujazia tuKwahyo usipouza ameliwa ha ha ha, unafeli sana.
walio serious wanakuja pm na ikienda vizuri nitaleta mrejesho apa ,tusichukuliane poa kiasi ichoTatizo linatokea pale unapogeuza fikira zako kua kamilifu, huo utapeli wa kiwango cha lami kabisa
umeandika pumba tupu,alafu umejionabmjanja,hiviitakua ujawahi chukua Mzigo bandarini,hivi hiyo ela unanipa mkononi au unaweka kwenye account ya bandarini inayofahamika,unadhani ni hiyo laki tano Ndogo ?,weka kwenye fixed account uone ata kwa mwenzi itafika ela hiyo,Mimi kwa siku unandika uharoMimi nafikiri mleta post anajifunza kupost mada JF, Nan atakubali kurisk 30m eti apate faida ya laki 500000, 🤔🤔 Yaani Wanaume Wenzako watafute Ela Kwa shida alafu wewe unataka uzipate tu kwa urahis kama vile Malaya wa Sinza wapatavyo Ela zao.Umeshauriwa hapo 🖕mtafute mteja kamuuzie huo mzigo bandarini.Au kama ulitaka kutujulisha unafanya mabiashara makubwa >30m hapo sawa 🤣🤣
dogo mbona zipo mbinu nyingi tu za kufanya utapeli au ndo unajifunzasio kila mtu tapeli kama unavyo Dhani na nimetoa Maelezo lazima ujiridhishe kila kitu ,milioni 30 sio maandazi mtu atoe tu kijinga jinga
Massa mawili yashapita mkuuthamani ya Mzigo ni kubwa zaidi ya hiyo 30 ,yani apo hiyo ni ya kujazia tu,nadhani sasa utakua umenielewa mkuu