King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Yaani upewe mil 30 kisha ulipe faida ya laki 5?unaitajika Mkopo wa milioni 30,riba laki tano baada ya masaa mawili,
tutaenda wote bandarini na document zote,utalipia Mzigo,una thamani kubwa tu,ukishatoka bandarini tayari utafika mpaka Dukani kwangu na wewe ukiwepo kwenye kila kitu,kabla utajiridhisha vizuri na document na Maelezo na leseni ya biashara husika jinsi utakavyo ,baada ya kuutoa Pesa yako yote itarudi na riba ya laki tano,bila longo longo yeyote,kwa Maelezo zaidi kwa aliye tayari tuwasiliane pm
Acha ujinga Kenge Wewe,umeandika pumba tupu,alafu umejionabmjanja,hiviitakua ujawahi chukua Mzigo bandarini,hivi hiyo ela unanipa mkononi au unaweka kwenye account ya bandarini inayofahamika,unadhani ni hiyo laki tano Ndogo ?,weka kwenye fixed account uone ata kwa mwenzi itafika ela hiyo,Mimi kwa siku unandika uharo
ndo akili yako imeishia apo,aisee,hivi natapeli vipi ela inayoingia kwenye account ya serikali na inayofahamika kwa wote,kama ujui kitu sio lazima kucomment,kaushadogo mbona zipo mbinu nyingi tu za kufanya utapeli au ndo unajifunza
Mtoa mada, Atakuautakuwa na tatizo la kufikiri kweli wewe mfanyabiashara upate tatizo kama hilo ushindwe kuongea na wafanyabiashara wenzako wakukopeshe uwape hiyo fantastic riba.Yani kwa uandishi wako haufikii hata thamanai ya $100
nilikua nisikujibu kitu,ila asante Mimi kenge ,ndo akili yako imeishia apo,aisee,hivi natapeli vipi ela inayoingia kwenye account ya serikali na inayofahamika kwa wote,kama ujui kitu sio lazima kucomment,kaushaAcha ujinga Kenge Wewe,
Kama unaijua hiyo fixed deposit, Kwanini hujaenda bank ukachukue hiyo 30mil.
Akili yako bado ni ndogo sana kumudu kazi ya Utapeli.
Hii internship yako ulitakiwa upeleke kule fesibuku, ukawatapeli watoto wa sekondari.
kwa siku sio haba mkuuYaani upewe mil 30 kisha ulipe faida ya laki 5?
usichojua ni kama usiku wa Giza,ila nakukarubisha pm nikupe situation yoteMtoa mada, Atakua
Hata hafanyi biashara, na hajawahi kufanya biashara.
Mtu wa biashara, Huwez kosa mdhamini kwa situation kama hiyo.
Na kama ni kweli kakosa mdhamini ambae ni mfanyabiashara mwenzie.
Basi huyu mtu sio mwaminifu kwenye biashara na wenzie.
Yaani,
Huenda akikopeshwaga huwa harudishi kabisa au harudishi kwa wakati.
At the end,
NDO KAMA HIVI, HAKOPESHEKI kwa wenzie.
Kakwama;
Keshapigwa pini kila pembe kwa wafanyabiashara wenzie.
Anakuja huku kwa watu baki kuomba mkopo.
acha jeuri dogoUnahitajika Mkopo wa milioni 30, riba laki tano baada ya masaa mawili.
Tutaenda wote bandarini na document zote, utalipia Mzigo, una thamani kubwa tu ukishatoka bandarini tayari utafika mpaka Dukani kwangu na wewe ukiwepo kwenye kila kitu. Kabla utajiridhisha vizuri na document na Maelezo na leseni ya biashara husika jinsi utakavyo baada ya kuutoa pesa yako yote itarudi na riba ya laki tano bila longo longo yeyote.
Kwa maelezo zaidi kwa aliye tayari tuwasiliane PM
mungu?Kila la heri mungu akusimamie
hahahhaaaaa atakua boya atakaepigwaNapendaga sana kuona tricks za matapeli, hawatumiagi nguvu. Mtaji wao ni sound zao tu. Kwa sound pekee mtu atapigwa million 30 soon.
Hata kama wanunuz wako elfu 10 si walipe kabla ya mzigo kufika?Mzigo una chuliwa na zaid ya mtu mmoja lazima uchukuliwe,thamani ya Mzigo tu vyote Viki kwenye maandishi risiti zote zipo sasa mtu atatapeliwaje na yeye yuko apo apo kila kitu anajionea?
MUNGUmungu?
siwezi kukuaminisha usichotaka kuamini,na ndo maana nimepandika kabla ya yote lazima muhusika ajihakikishie usalama wa kila kitu nikiamini kabisa hayo mambo yapo,lakini mimi kiwango icho ndo kilichobaki ,nikuukize swali ,ela umewela account ya bandarini,hivi Nina uwezo gani wa kuitoa?Mtoa Mada,
Nakuomba utambue kua Huu ni Wakati wa Anko Magu.
Hakuna Pesa yoyote inatoka kirahisi rahisi kama akili yako inavokutuma.
Wenzio humu tumo watu kibao tunafanya biashara hizo, Tumegomboa mizigo ilokwama bandarini Mara kibao tu.
Na kwa taarifa,
Hakuna sehemu matapeli wamejaa nchi hii kama maeneo ya bandari.
Na binafsi,
Nna uzoefu sana na binafsi nlishawahi kupigwa na hao matapeli wa bandari kwa hizo gia za mizigo ilokwama.
Sasa,
Hio gia uloingia nayo humu Leo hii,
Nmeishuhudia live mara 2.
1. Ilkua mwaka 2008, akipigwa 14mil Mwanamke mmoja kutoka CONGO DRC pale mitaa ya Kurasini.
2. Nyingine, akipigwa 8mil Mkinga mmoja pale Agrey-K'koo
Leo hii ni 2018,
Zaidi ya miaka 10 ilishaopita, Wewe ndo unaieleta humu jf Leo.
Tena kwa style ile ile na maneno ya utetezi yaleyale nloskia matapeli hao wakijitetea.
Inasikitisha sana kwakweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Napendaga sana kuona tricks za matapeli, hawatumiagi nguvu. Mtaji wao ni sound zao tu. Kwa sound pekee mtu atapigwa million 30 soon.
VP BIASHARA YAKO YA KITIMOTO IMEISHIA WAP?
bado naendelea kuuza ni project kubwa na apa Jf ninàwateja watano huakika kwa jumlaVP BIASHARA YAKO YA KITIMOTO IMEISHIA WAP?