Pole sana mkuu haya ndio maishaHabarini wa Jamvi natumai mnaendelea vizuri na weekend pamoja na majukumu mengne ya kutafuta chochote..
Bila ya kuwapotezea muda naomba msaada wenu, nawezaje pata mkopo wa kuanzia 1-1.5M iwe kwa kampuni au kwa mtu binafsi,
Kama kuna mtu humu anaweza kunipatia mkopo au kuniunganisha na sehemu yoyote ambayo naweza pata hiyo ela nitashukuru sana...
Ahsanteni
N.B Sina kitu chochote cha kuweka dhamana, ila nitamkabidhi vyeti vyangu (original) kuanzia kidato cha nne hadi cha degree..
Ha ha ha ha ha ha ha ha..!Hivi Usy ngoja nikuulize kitu, nikija kwako kukukopa ukanipa milioni moja nikakuachia vyeti vyangu kuanzia chekechea hadi masters degree ya Havard, nisipokulipa utafanya nn na vyeti vyangu?
Vyeti vina thamani sana tena sana kwako tu, vikienda kwa mtu mwingine ni sawa na makaratasi tu tena sana sana kama makaratsi ya plastiki yaliyopigwa marufuku na serekali maana huwezi yatumia popote pale!
Anajua anachokifanya huyu...Somethng smells fishyHabarini wa Jamvi natumai mnaendelea vizuri na weekend pamoja na majukumu mengne ya kutafuta chochote..
Bila ya kuwapotezea muda naomba msaada wenu, nawezaje pata mkopo wa kuanzia 1-1.5M iwe kwa kampuni au kwa mtu binafsi,
Kama kuna mtu humu anaweza kunipatia mkopo au kuniunganisha na sehemu yoyote ambayo naweza pata hiyo ela nitashukuru sana...
Ahsanteni
N.B Sina kitu chochote cha kuweka dhamana, ila nitamkabidhi vyeti vyangu (original) kuanzia kidato cha nne hadi cha degree..
Aisee mtaani maisha ni magumu sana aisee ... kila kitu ninachojaribu kufanya hakiendi, nimebaki hopeless sina moja wala mbili hapo
Riba shingapi mkuu nikupe