usy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2019
- 209
- 164
Habarini wa Jamvi natumai mnaendelea vizuri na weekend pamoja na majukumu mengne ya kutafuta chochote..
Bila ya kuwapotezea muda naomba msaada wenu, nawezaje pata mkopo wa kuanzia 1-1.5M iwe kwa kampuni au kwa mtu binafsi,
Kama kuna mtu humu anaweza kunipatia mkopo au kuniunganisha na sehemu yoyote ambayo naweza pata hiyo ela nitashukuru sana...
Ahsanteni
N.B Sina kitu chochote cha kuweka dhamana, ila nitamkabidhi vyeti vyangu (original) kuanzia kidato cha nne hadi cha degree..