Natafuta mkopo wa kuanzia 1-1.5M dhamana ni vyeti vyangu orginal

usy

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2019
Posts
209
Reaction score
164
Habarini wa Jamvi natumai mnaendelea vizuri na weekend pamoja na majukumu mengne ya kutafuta chochote..

Bila ya kuwapotezea muda naomba msaada wenu, nawezaje pata mkopo wa kuanzia 1-1.5M iwe kwa kampuni au kwa mtu binafsi,
Kama kuna mtu humu anaweza kunipatia mkopo au kuniunganisha na sehemu yoyote ambayo naweza pata hiyo ela nitashukuru sana...
Ahsanteni
N.B Sina kitu chochote cha kuweka dhamana, ila nitamkabidhi vyeti vyangu (original) kuanzia kidato cha nne hadi cha degree..
 
Mzee pole sana hicho kiasi ni. Kikubwa sana halafu hiyo dhamana ni invalid, komaa tu taratibu utaipata.
 
Habarini wa Jamvi natumai mnaendelea vizuri na weekend pamoja na majukumu mengne ya kutafuta chochote..

Bila ya kuwapotezea muda naomba msaada wenu, nawezaje pata mkopo wa kuanzia 1-1.5M iwe kwa kampuni au kwa mtu binafsi,
Kama kuna mtu humu anaweza kunipatia mkopo au kuniunganisha na sehemu yoyote ambayo naweza pata hiyo ela nitashukuru sana...
Ahsanteni
N.B Sina kitu chochote cha kuweka dhamana, ila nitamkabidhi vyeti vyangu (original) kuanzia kidato cha nne hadi cha degree..
Pole sana mkuu haya ndio maisha

Mwenyezi mungu akutimizie hitaji la moyo wako
 
Hivi Usy ngoja nikuulize kitu, nikija kwako kukukopa ukanipa milioni moja nikakuachia vyeti vyangu kuanzia chekechea hadi masters degree ya Havard, nisipokulipa utafanya nn na vyeti vyangu?

Vyeti vina thamani sana tena sana kwako tu, vikienda kwa mtu mwingine ni sawa na makaratasi tu tena sana sana kama makaratsi ya plastiki yaliyopigwa marufuku na serekali maana huwezi yatumia popote pale!
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha..!
 
Habarini wa Jamvi natumai mnaendelea vizuri na weekend pamoja na majukumu mengne ya kutafuta chochote..

Bila ya kuwapotezea muda naomba msaada wenu, nawezaje pata mkopo wa kuanzia 1-1.5M iwe kwa kampuni au kwa mtu binafsi,
Kama kuna mtu humu anaweza kunipatia mkopo au kuniunganisha na sehemu yoyote ambayo naweza pata hiyo ela nitashukuru sana...
Ahsanteni
N.B Sina kitu chochote cha kuweka dhamana, ila nitamkabidhi vyeti vyangu (original) kuanzia kidato cha nne hadi cha degree..
Anajua anachokifanya huyu...Somethng smells fishy
 
Wasomi wengi wanafikiria wapate mitaji mikubwa ili wafanye biashara.. Ukiwa na ideology hii itakuwa mtu wa kesho nitafanya hadi umri unakupiga unakula kwenu na kuomba pesa ya vocha
 
Vyeti siyo security mkuu,maana ya dhamana ni kwamba ni mbadala wa pesa yake anayekukopesha ina maana ukishindwa kurejesha mkopo anauza anarudisha pesa yake anaendelea na biashara.
Sasa vyeti utamuuzia nani?
Hiyo ni kesi mkuu ni sawa na kufilisi godoro la mteja kihaki za binadamu ni kosa huruhusiwi kumfilisi mteja godoro.
Kwahiyo vyeti siyo dhamana sema wewe unachotaka kukifanya ni kumdhihirishia mkopeshaji kuwa pesa yake itarudi hadi wewe umerisk vyeti kutoa bali kiutaratibu haipo labda muandikishane endapo utashindwa kurejesha mkopeshaji atavichoma vyeti vyote na hii haipo kisheria mkopeshaji atafungwa.
Wewe fanya kitu kimoja tafuta hata ndugu ama rafiki akudhamini na gari ama bajaji utapata hiyo pesa unayo hitaji la sivyo hauopata.
Pole na endelea kupambana siyo wewe ni wengi wanahitaji kama lako hasa vijana
 
Aisee mtaani maisha ni magumu sana aisee ... kila kitu ninachojaribu kufanya hakiendi, nimebaki hopeless sina moja wala mbili hapo
 
Oyaaa nichek pm kun mdau anatoa mikopo kwa dhaman y hvyo vtu sema sharti uwe mwanachuo wa udom ila tunaweza kumuelewesha akakuelew riba yake n 30%
 
  • Thanks
Reactions: A43
Back
Top Bottom