Natafuta mme aliye serious na hitaji la mke

Natafuta mme aliye serious na hitaji la mke

Status
Not open for further replies.
Dada maisha yako yoote hujawah ambiwa inapendwa Kama mke na kijana yeyote?
 
Nifute PM mie nina sifa zote ila dini ningependa zaid mkristo sio mlokole wala muislamu!
 
Mambo mengine kuyaona ni mpka uwe na akili ya binadamu. Kama una akili ya fisi hauwezi kuyaona.
Kama mimi kusema sijaona tusi kwako umekereka basi ungeishia kuniambia kuwa sina akili timamu na ingetosha, sijaona sababu ya kumtukana fisi mnyama. Utimamu wa akili unapimwa kwa binadamu, je unajua wanyama (ref fisi) wanaongozwa na nini katika kufanya maamuzi?
 
Mbona Jua limezama na Giza tayari limetanda
Kwanini usiendelee kujifariji na kujaza ujinga wadogo zako wa kike kuwa wanaume hatuna maana.
Kama kaburi la baba wa mtoto wako lipo na ninaweza kwenda kuliona basi nipo tayari kuleta posa

We ni mpuuzi sana[emoji3][emoji3][emoji3]

Sema naamini atajua unatania na unalengo la kufurahisha genge

Unataka awe strong woman wa istagram sio[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari wana jf. Kichwa cha habari Kama kinavyojieleza. Naamini mme anapatikana sehemu yoyote ile.
Wasifu wangu.
Nina mtoto mmoja
Umri 35
Kazi ni mwajiliwa serikalini
Mzaliwa nyanda za juu kusini

Sifa za mwanaume
Awe serious
Umri 36 na kuendelea
Akiwa na mtoto ni vizuri
Awe anatokea nyanda za juu kusini
Dini yoyote
Tuongee nina shida na wewe
 
Mbona Jua limezama na Giza tayari limetanda
Kwanini usiendelee kujifariji na kujaza ujinga wadogo zako wa kike kuwa wanaume hatuna maana.
Kama kaburi la baba wa mtoto wako lipo na ninaweza kwenda kuliona basi nipo tayari kuleta posa
Duh! Umeamua kumchana
 
Dont hate the player, hate the game.
Jua kweli limezama si ndio maana anachangamka kutafuta, kila mtu ana story yake kwenye maisha sio vizuri kumkatisha tamaa wakati hujui amefikaje hapo...what if kafiwa na mchumba au wameachana au ametapeliwa...ww kama huna hitaji mwache atafute haja ya moyo wake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom