Natafuta mme aliye serious na hitaji la mke

Natafuta mme aliye serious na hitaji la mke

Status
Not open for further replies.
Ungeweka picha yako hata ya tako kama unalo ili kutia msisitizo katika uzi wako,
Kiukweli kama huna tako kwa vigezo ulivyo weka hakika umetukosea adabu
 
Habari wana jf. Kichwa cha habari Kama kinavyojieleza. Naamini mme anapatikana sehemu yoyote ile.
Wasifu wangu.
Nina mtoto mmoja
Umri 35
Kazi ni mwajiliwa serikalini
Mzaliwa nyanda za juu kusini

Sifa za mwanaume
Awe serious
Umri 36 na kuendelea
Akiwa na mtoto ni vizuri
Awe anatokea nyanda za juu kusini
Dini yoyote
Njoo pm hutojutia
 
Mbona Jua limezama na Giza tayari limetanda
Kwanini usiendelee kujifariji na kujaza ujinga wadogo zako wa kike kuwa wanaume hatuna maana.
Kama kaburi la baba wa mtoto wako lipo na ninaweza kwenda kuliona basi nipo tayari kuleta posa
Mbona hapa Kuna harufu ya karoho kabaya[emoji854][emoji854]

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom