natafuta mme aliye serious

habari zenu wana JF,mimi ni msichana umri miaka 30, ni mwajira kwenye kampuni hapa dar, natafuta mme mwenye sifa zifuatazo,awe mkristo,elimu kuanzia degree i na kuendelea,umri kuanzia 32- 40.mwenye sifa tuwasiliane

Dada ang nimejitokeza ila ninafanya kazi arusha tanapa na ni mkristu.ningependa tujuane vizuri 0656145323 na e-mail joviel92@ovi.com
 
habari zenu wana JF,mimi ni msichana umri miaka 30, ni mwajira kwenye kampuni hapa dar, natafuta mme mwenye sifa zifuatazo,awe mkristo,elimu kuanzia degree i na kuendelea,umri kuanzia 32- 40.mwenye sifa tuwasiliane

Utampata, ila sijajua kwanini wanaume wasomi walio wengi wanaogopa kuwaoa wanawake wasomi.
 
habari zenu wana JF,mimi ni msichana umri miaka 30, ni mwajira kwenye kampuni hapa dar, natafuta mme mwenye sifa zifuatazo,awe mkristo,elimu kuanzia degree i na kuendelea,umri kuanzia 32- 40.mwenye sifa tuwasiliane

Nina sifa zingine zote, isipokuwa nina miaka 31 na miezi minne.
 
Mmh 2 much 30 years.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Not 2 much kwa mtu ambaye amekuwa masomoni, na hatujui mwenyewe ana kiwango gani cha elimu, labda masters, not too late.
 
Kunawatu humu wamejaa michuki, wewe kama huna mpango na huu uzi au huukuhusu huna sababu ya kuja kumwaga matapishi na uharo wako. Ustarabu hauuzwi dukani. Sasa unaona ujanja gani? Mods naona mmelala/
 
32 - 40 wengi washaoa, waliobaki baki vimeo
Hujui hilo??? Nena kanisani kwenu, hukosi mwanakwaya
Kongosho nakuheshimu mkuu. Mi nipo age hiyo, sijaoa na siyo kimeo. Unatushusha hadhi ujue.
 
Last edited by a moderator:

Daaaah..mkuu, nn mbaya huwez jua labda alikuwa nae mpaka ile cku ya ndoa jamaa akatoroka kwa church..
Ila na hizo sifa zako pia sio za maana saana..labda tabia na dini ..about ecomic, anajiweza? Hata kama hana elimu..nadhan vigezo vikubwa ni:
1.Awe na tabia njema na yakukubalika na jamii..utamchinguza.
2.Awe anajiweza angalau kiiiiiiidogo tuu, mengine mtasaidiana....
3. Awe mkweli na nia....
4. Afya muhimu saana..mka pime..
5.Awe na dhati ya kweli..kupendana kw kila hali..
 
habari zenu wana JF,mimi ni msichana umri miaka 30, ni mwajira kwenye kampuni hapa dar, natafuta mme mwenye sifa zifuatazo,awe mkristo,elimu kuanzia degree i na kuendelea,umri kuanzia 32- 40.mwenye sifa tuwasiliane

God has plan with u and he is going to give u a right man
 
Utajuaje kama mcha Mungu? Kwa kwenda kanisani? Kwa kuwa mzee wa kanisa au mwimba kwaya,?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…