Tumefika.Ambatanisha cheti cha kifo cha baba wa mtoto kwanza.Watakuja kuulizia kama huyo mwanaume uliyezaa naye yupo hai. Andaa majibu kabisa.
Unataka Ajira yake au unataka akupe hela......Naamini mme hupatikana popote Mimi ni mama wa mtoto mmoja. Naishi mkoa wa Iringa hivyo nimeona nitafute mtu wa mikoa ya karibu ili iwe rahisi kuonana. Sifa za mme awe hana mke. Awe na miaka 35 na kuendelea Akiwa na mtoto ni vizuri pia kama hana sawa. Awe amejiajiri au kuajiliwa.
Hiyo inaitwa handicapMechi kabla haijaanza, mchezo uko moja bila.
Hahahaaaa...... Msimu umekaribia!johnthebaptist yupo Njombe hapo anafuga kitambi tu
johnthebaptist yupo Njombe hapo anafuga kitambi tu
Kitambi cha ulanzi na mapindigesi 😬😬johnthebaptist yupo Njombe hapo anafuga kitambi tu
Umenisahau na mimi mkuu! Mara nyingi huwa nakiona hicho kijamaa johnthebaptist kikipita kwenda kwa Mzee wake Mgaya kuchukua mada za kuja kutuletea humu jukwaani!Ndio kishapata jiko tayari na washenga akina Mzee Mgaya wapo tu wanacheza bao pale kitwiru wanasubiri ratiba