Naamini mme hupatikana popote Mimi ni mama wa mtoto mmoja. Naishi mkoa wa Iringa hivyo nimeona nitafute mtu wa mikoa ya karibu ili iwe rahisi kuonana. Sifa za mme awe hana mke. Awe na miaka 35 na kuendelea Akiwa na mtoto ni vizuri pia kama hana sawa. Awe amejiajiri au kuajiliwa.