Utapimaje ucha Mungu Wake?Habari zenu wana ndugu, mimi ni mdada wa miaka 32 nina mtoto ninatafuta mume, elimu yangu ya chuo, mkristo. Nina tafuta mume wakunioa awe mcha mungu, na awe anajishughulisha/kitu chakumuingizia kipato umri uanza miaka 32-40. Ila awe tayari kunikubali na kunipenda mimi na mwanangu.
For more details come to PM
hahahahahha bila vigezo jamani? unamwonea sasaPunguza masharti dada, we sema unataka mume, ishia hapo mengine yatajipa ndani kwa ndani.
Karibu, njoo PmHabari zenu wana ndugu, mimi ni mdada wa miaka 32 nina mtoto ninatafuta mume, elimu yangu ya chuo, mkristo. Nina tafuta mume wakunioa awe mcha mungu, na awe anajishughulisha/kitu chakumuingizia kipato umri uanza miaka 32-40. Ila awe tayari kunikubali na kunipenda mimi na mwanangu.
For more details come to PM
Acha kumkatisha mwenzio tamaa jjehapa hupati jibu kabisa, ningeshauri atafute huko anakoenda kuabudu maana ndiko atakapopata wenye kumcha Mungu.
ni ushauri tu maana hapa kebehi nyingi zitakuwepo.
kuna kitu najiuliza for sure bila majibu.
Hivi watu wa namna hii wako serious kweli? it means wanakoishi hawajaona kabisa hadi waje humu JF?
seriously? mimi sina jibu kabisa naomba msaada.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kanisani kwenu umekosa kabisa? Umezaa na mume wa mtu? Umeachika? More details.
Sasa tafuta mtu anayemfahamu uulizie mambo yake kipindi alipokuwa 21. Utakoma mwenyewe. Saa hizi jua linaanza kuzama ndo anaanza kushutuka na kumcha Mungu, thubutu!Hizi 30s huwa ni patamu sn
Ha ha ha dharau kwa vijana wenzie balaa!!Sasa tafuta mtu anayemfahamu uulizie mambo yake kipindi alipokuwa 21. Utakoma mwenyewe. Saa hizi jua linaanza kuzama ndo anaanza kushutuka na kumcha Mungu, thubutu!
namshauri bhana vizuri msije mpa majibu ambayo atajiona hafai kumbe Mungu alifanya kila kitu na kuona amependeza ndo akamleta humu duniani.Acha kumkatisha mwenzio tamaa jje
Vizuri na naimani ameusoma ushauri wako japo kimyakmyanamshauri bhana vizuri msije mpa majibu ambayo atajiona hafai kumbe Mungu alifanya kila kitu na kuona amependeza ndo akamleta humu duniani.
haswaa ni vyema akanisikiliza mie dada akeVizuri na naimani ameusoma ushauri wako japo kimyakmya
Haaaaa dadake ushapitia mengi na atakusikiliza mdogo akohaswaa ni vyema akanisikiliza mie dada ake
mengi yapi nilishapitia na wewe jaman mkuu? nitake radhiHaaaaa dadake ushapitia mengi na atakusikiliza mdogo ako
Unaleta kingereza humu utapata msomi mwezako tyuuHivi hizi serikali za Afrika zina matatizo gani tatizo halikimbiwi lina shughulikiwa
Nimesoma msg zenu, kwa wale wanao uliza kuhusu baba wa mtoto ukini PM i will iron out the details what happened.
Kwa wale mnao criticize, sikatai kuwa criticize coz binadamu tumeumbwa hivyo. Ila bear in mind it is all around us yawezekana usiwe ni wewe but ikampata one member of your family so dont judge about age coz you dont know what happened in the past.