Natafuta mme

Natafuta mme

Habari zenu wana ndugu, mimi ni mdada wa miaka 32 nina mtoto ninatafuta mume, elimu yangu ya chuo, mkristo. Nina tafuta mume wakunioa awe mcha mungu, na awe anajishughulisha/kitu chakumuingizia kipato umri uanza miaka 32-40. Ila awe tayari kunikubali na kunipenda mimi na mwanangu.

For more details come to PM
Utapimaje ucha Mungu Wake?
 
Karibu, njoo Pm
 
Mtafute baba Mtoto muendeleze uzee wenu, hakuna shirt cut hapo. Kama una Mtoto ni ishara tosha kwamba una mume.....labda ueleze uma kwamba mwenye Mtoto yu wapo and why?
 
hapa hupati jibu kabisa, ningeshauri atafute huko anakoenda kuabudu maana ndiko atakapopata wenye kumcha Mungu.

ni ushauri tu maana hapa kebehi nyingi zitakuwepo.

kuna kitu najiuliza for sure bila majibu.

Hivi watu wa namna hii wako serious kweli? it means wanakoishi hawajaona kabisa hadi waje humu JF?
seriously? mimi sina jibu kabisa naomba msaada.
Acha kumkatisha mwenzio tamaa jje
 
Sasa tafuta mtu anayemfahamu uulizie mambo yake kipindi alipokuwa 21. Utakoma mwenyewe. Saa hizi jua linaanza kuzama ndo anaanza kushutuka na kumcha Mungu, thubutu!
Ha ha ha dharau kwa vijana wenzie balaa!!
Club hakauki!!
Vimini, tight clothes mchana,
Bingwa wa kuchuna,nk.

Ila wanaume ni kiboko!!
 
Nimesoma msg zenu, kwa wale wanao uliza kuhusu baba wa mtoto ukini PM i will iron out the details what happened.

Kwa wale mnao criticize, sikatai kuwa criticize coz binadamu tumeumbwa hivyo. Ila bear in mind it is all around us yawezekana usiwe ni wewe but ikampata one member of your family so dont judge about age coz you dont know what happened in the past.
 
B
Hivi hizi serikali za Afrika zina matatizo gani tatizo halikimbiwi lina shughulikiwa
Unaleta kingereza humu utapata msomi mwezako tyuu

Back
Top Bottom