peter gundagun
Member
- Jan 5, 2016
- 21
- 2
bd tyu haujapata tyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mume serious ni kichaa tu ndo unaweza kumpata wengine mambo yetu mengi usurious hatunaga aisee ukitaka kuelewa vema angalia mfumo wa maisha kwa wazazi wako ndo utavyoishi na wewe huwezi anzisha kitu kipya katika umoja wenu kati yako na mume umtakae zaidi kucopy na Ku paste maisha yaendeleeHabar!ninaishi dar,I’m 28 years old christian,Lutheran church na nimeajiriwa, ninatafuta mme,nimechoka upweke na nahitaji mtu serious anaeishi dar kwa ajili ya ukaribu.thanks.serious issue pls.kama una utani kaa pembeni.nimechoka upweke Loh.
Nb:uwe mwaminifu sio kujileta na madudu yako me too I’m tired of those madudu[emoji29]
Note!!mume lazima awe mkristo tena mcha Mungu will be my first priority,na umri kuanzia 32 plus na sijabagua wa mkoa wowote nimesema ajili ya ukaribu...and I’m too busy so ukija kwangu maanisha maana sina mda wa kuanza kufanya hili ama lile!
Karibu.
naomba nijue maana ya pmkaribu mpaka kwenye Pm yangu hutajuta
hi lovie I am here just for u kindly let's exchange our contact number so that we can talk in depthMume serious ni kichaa tu ndo unaweza kumpata wengine mambo yetu mengi usurious hatunaga aisee ukitaka kuelewa vema angalia mfumo wa maisha kwa wazazi wako ndo utavyoishi na wewe huwezi anzisha kitu kipya katika umoja wenu kati yako na mume umtakae zaidi kucopy na Ku paste maisha yaendelee
Umepata loviee,?dah mi naishi mbali ndio tatizo tungewezana sana maana kichwa yangu nayo ishavurugwa sana.Thank you dear na ninaamini hayo