Natafuta mme

Natafuta mme

Habar!ninaishi dar,I’m 28 years old christian,Lutheran church na nimeajiriwa, ninatafuta mme,nimechoka upweke na nahitaji mtu serious anaeishi dar kwa ajili ya ukaribu.thanks.serious issue pls.kama una utani kaa pembeni.nimechoka upweke Loh.
Nb:uwe mwaminifu sio kujileta na madudu yako me too I’m tired of those madudu[emoji29]
Note!!mume lazima awe mkristo tena mcha Mungu will be my first priority,na umri kuanzia 32 plus na sijabagua wa mkoa wowote nimesema ajili ya ukaribu...and I’m too busy so ukija kwangu maanisha maana sina mda wa kuanza kufanya hili ama lile!
Karibu.
Mume serious ni kichaa tu ndo unaweza kumpata wengine mambo yetu mengi usurious hatunaga aisee ukitaka kuelewa vema angalia mfumo wa maisha kwa wazazi wako ndo utavyoishi na wewe huwezi anzisha kitu kipya katika umoja wenu kati yako na mume umtakae zaidi kucopy na Ku paste maisha yaendelee
 
hi lovie I am here just for u kindly let's exchange our contact number so that we can talk in depth
 
Back
Top Bottom