Joined 15 feb 2019
Kila la heri mkuu katika utafutaji wake na Mungu akakuongoze vyema katika kuchagua chuya na mchele!
Kila la kheri mkuu.Humu ndani kuna wajuaji sijui nimejoin leo ama whatever I don’t care nimejoin sababu hii yes so ukiona post haikuhusu pita pemben tusikwazane
bahati mbaya ni kwamba 20_25 wanakuja watu wengiiiii na kwenye msafara wa mamba na mikenge haikosi
inakua ni vigumu kujua nan mkaaji nan mpitaji
Madudu yapi?Habar!ninaishi dar,I’m 28 years old christian,Lutheran church na nimeajiriwa, ninatafuta mme,nimechoka upweke na nahitaji mtu serious anaeishi dar kwa ajili ya ukaribu.thanks.serious issue pls.kama una utani kaa pembeni.nimechoka upweke Loh.
Nb:uwe mwaminifu sio kujileta na madudu yako me too I’m tired of those madudu😓
ninayo kiasiKumbe una experience na hii kitu
ninayo kiasi
Siku ukiacha nyodo ndio siku utapata mumeHabar!ninaishi dar,I’m 28 years old christian,Lutheran church na nimeajiriwa, ninatafuta mme,nimechoka upweke na nahitaji mtu serious anaeishi dar kwa ajili ya ukaribu.thanks.serious issue pls.kama una utani kaa pembeni.nimechoka upweke Loh.
Nb:uwe mwaminifu sio kujileta na madudu yako me too I’m tired of those madudu[emoji29]
hahaha bado badoUlipata umtakae lkn?
hahaha bado bado
sio kuchagua, yan ni vile tu unamsoma mtu unahisi kabisa uyu ni mtumiajiUnachagua sana basi ww
Haaaa kavurugwa jana haya dada na sisi hatuoende mashono yenu ila tu mwa ushauri umri bado una kama miaka 5 ya kula maisha kanla hujaoata ajira yakudumuZa asubuhi dada?
sio kuchagua, yan ni vile tu unamsoma mtu unahisi kabisa uyu ni mtumiaji
Haaaa kavurugwa jana haya dada na sisi hatuoende mashono yenu ila tu mwa ushauri umri bado una kama miaka 5 ya kula maisha kanla hujaoata ajira yakudumu