Natafuta mme

Ukitaka Kibenten nistue

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Acha uchoyo ww kijana mwenzio inabidi umsikilize kwnz..ww ulikuwa unataka mzee mzee hivi ndio uone sio mtumiaji?
hahaha eti mzee mzee
kuna muda wa kutumiana na inafika stage ya mtu kuamua kusettle na mtu mmoja na kujenga nae maisha
mfano mdogo ni kama hapo mtoa ameshajiamulia atafute last opt asettle nae life liendelee
 
hahaha eti mzee mzee
kuna muda wa kutumiana na inafika stage ya mtu kuamua kusettle na mtu mmoja na kujenga nae maisha
mfano mdogo ni kama hapo mtoa ameshajiamulia atafute last opt asettle nae life liendelee

Ww hujafikia last option bado?!
 
Huu uzi ungeutuma PM niurekebishe ungenoga sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Huku wengi wanatumia utambulisho badia, waweza kukuta kwenye familia moja kila mtu ni mwanachama kwa siri na ID bandia mwisho wa siku mkakuta mnatongozana na baba yako ama kaka zako

2.Wanaume wa kuoa ni wale unaopishana nao kila siku njiani, ni wale unaofanya nao kazi, ni wale unaosali nao, ni wale majirani zako, ni wale uliosoma nao, ni wale wanaokuja ofisini kwako ama unaowakuta ofisini kwao kwenye majukumu ya kikazi

3.Tatizo lenu hamataki kuolewa na wanaume mliowazoea kwa kuwa madhaifu yao mnaijua, kwa kuwa mnadhani hawana hela, kwa kuwa mnadhani hawana hobi za matanuzi

4. Anza sasa kuwaheshimu wanaume na kila mtu kwani yule unayemtarajia awe mchumba wako sio yeye, wachuma wa kweli wanakupeleleza kimya kimya na wakikuona jinsi unavyoishi , unavyoongea na watu, tabia za marafiki zako, unavyopenda maisha ya juu na ya hanasa wananakokimbia kimya kimya.

5. Kama wewe ni mkristu kama ulivyo sema sasa anza ibada ya kila wakati na ikiwezekana jiunge na kwaya na kule uwe na tabia tofauti kabisa maana kuna vikware vimejificha humo unaweza kuharibu faili lako kabisa.

6. Kama huo mtaa ama mkoa ulipo ulishaharibu na tabia zako zinajulikana basi hama kabisa mkoa kaaze upya na ukifika huko badili tabia maana tuna tabia ya kuwahi mwanamke mpya anayekuja bila kujali huko aliko toka alishaharibu.
 
Humu ndani kuna wajuaji sijui nimejoin leo ama whatever I don’t care nimejoin sababu hii yes so ukiona post haikuhusu pita pemben tusikwazane
Punguza maneno makali Mdada, ukiwa mnyenyekevu na mpole huwezi kupata hasara yeyote, nafahamu kwamba kuna watu wanakwaza, lakini ndio binadamu wenyewe hao.
 
nimeielewa namba 4
 
0782049595 kama kweli upo serious nitafute hapo tuyajenge
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…