Natafuta mme

Mimi nadhani kama kweli unataka kuolewa usingeweka limitation ya mwanaume kutokea Dar. Unaweza ukalazimisha atoke Dar, ukajuta wakati aliye sahihi kwako yupo Mwakaleli huku!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama 'unavuta tela' basi njoo nikuwowe. Ila kama una tako bapa kama panga, kaa benchi kwanza ungojee kipindi cha pili, nitakuputi intu konsidaresheni. 😁😁😁

-Kaveli-
 
Kwenye nini kaveli mwenye sauti yake tamuu?[emoji23]

Kwenye kumtafuta Kaveli. πŸ˜‹πŸ˜‹

Hahaha eti sauti tamu. Umeanza ucheshi wako we mrembo πŸ˜‚πŸ˜‚.

-Kaveli-
 
Kwenye kumtafuta Kaveli. [emoji39][emoji39]

Hahaha eti sauti tamu. Umeanza ucheshi wako we mrembo [emoji23][emoji23].

-Kaveli-
Hahahaha Kaveli bwana nikutafute mara ngapi?lol[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hahahaha kidogo tu[emoji6]
 
Kama ni single mother utapata wa kuosha mashine yake kwako.
 
Hahahaha Kaveli bwana nikutafute mara ngapi?lol[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hahahaha kidogo tu[emoji6]

Hongera sana kwa kumnasa Kaveli. Utaenjoy maisha like in heaven, zaidi ya Hawa yule wa Eden. 😁😁

-Kaveli-
 
Nina maswali 5 kabla ya kukubali kuniposa:
1.Mume awe na umri gani?
2.Awe na dini au hana?
3.Na kama anayo dini iwe ipi na dhehebu gani?
4.Je, we bado ni bikra?
5.Una mtoto au huna?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahaha umenifanya nicheke sana Kaveli [emoji23] sio kwa mistari hiyo

Wahi geto sasa uje nikulishe madini unye utajiri. Kumpata Kaveli ni sawa na kuwa signatory wa World Bank. Pompo la kumwaga. 😊😊

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…