Natafuta mme

28 duu ushapiga km za kutosha umeona unaelekea majira ya jioni sio mbaya lakin kuna makonkodi humu yenye miaka 37 -,40 hayajaoa lkn nilichopenda hujaweka vigezo na masharit

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nipo mwanza mkuu,sina sifa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je utakubali kuwa Muislam!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama nakuona ulivyokua unaringa enzi za 18-25

Hoja mufilisi sana hii..eti alikua anaringa!

Ulikua nae?

Yaani hoja ya kitoto sana hiii..

Sasa wewe ulitaka awapanulie wote tu kila anaetaka?

Hakupata mwenye interest sababu anazijua yeye ndio mpaka sasa hivi hajapata ndio maana anatafuta!

Duh
 
Vipi ana Churaa????[emoji849][emoji849][emoji849][emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi namba ya simu
 
Hoja mufilisi sana hii..eti alikua anaringa!

Ulikua nae?

Yaani hoja ya kitoto sana hiii..

Sasa wewe ulitaka awapanulie wote tu kila anaetaka?

Hakupata mwenye interest sababu anazijua yeye ndio mpaka sasa hivi hajapata ndio maana anatafuta!

Duh
nilikua na ovaroli limejaa grease hapa asante kwa povu wacha nikafue sasa
 
nilikua na ovaroli limejaa grease hapa asante kwa povu wacha nikafue sasa

Wala sio hivyo mkuu,ni hoja ya mwaka 47 tukiwa kindergarten....

"Eti ulikua ukiringa" sasa sijui alitakaje yeye?

Huyo dada avue uchi auweke wazi mboo yoyote ipite free?

Is this really life?
 
una watoto wangapi!
 
Kama matone ya maji yanavyo anguka kidogo kidogo hatimaye yanajaza chungu. Halikadhalika mtu mwenye busara, inajijaza kwake kidogo kidogo kwa kujishibisha mwisho wa siku inamvaa kabisa anakuwa ni mwenye kuishi nayo.

Haya maneno yamenijia baada ya kusoma koti yako. Upo vizuri, wewe ni miongoni mwa wenye busara brother.
 
Nafikiri una nia njema , ila njia unayoitumia siyo sahihi. Kwanini usingeanzia kanisani kwako ambako wanakujua vizuri? Kwa hao watakaokuja , nashauri usitembee nao kimwili mpaka watakapokua. Maana kwa style uliokuja nao ni vigumu kutambua wenye nia sahihi ya kukuposa. Huenda tu wakaja wataka papuchi.
HAKUNA HAJA YA KUFUGA NG'OMBE KAMA KILA SIKU WAPATA MAZIWA YA BURE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkisha pataga hao waume mtoe mrejesho maana siku hizi mmekuwa wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…