Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
All the best, "he who searches carefully never fails to find"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nipo mwanza mkuu,sina sifa?Habar!ninaishi dar,I’m 28 years old christian,Lutheran church na nimeajiriwa, ninatafuta mme,nimechoka upweke na nahitaji mtu serious anaeishi dar kwa ajili ya ukaribu.thanks.serious issue pls.kama una utani kaa pembeni.nimechoka upweke Loh.
Nb:uwe mwaminifu sio kujileta na madudu yako me too I’m tired of those madudu[emoji29]
Je utakubali kuwa Muislam!Habar!ninaishi dar,I’m 28 years old christian,Lutheran church na nimeajiriwa, ninatafuta mme,nimechoka upweke na nahitaji mtu serious anaeishi dar kwa ajili ya ukaribu.thanks.serious issue pls.kama una utani kaa pembeni.nimechoka upweke Loh.
Nb:uwe mwaminifu sio kujileta na madudu yako me too I’m tired of those madudu[emoji29]
kama nakuona ulivyokua unaringa enzi za 18-25
Vipi ana Churaa????[emoji849][emoji849][emoji849][emoji15]Hoja mufilisi sana hii..eti alikua anaringa!
Ulikua nae?
Yaani hoja ya kitoto sana hiii..
Sasa wewe ulitaka awapanulie wote tu kila anaetaka?
Hakupata mwenye interest sababu anazijua yeye ndio mpaka sasa hivi hajapata ndio maana anatafuta!
Duh
Vipi namba ya simuHabar!ninaishi dar,I’m 28 years old christian,Lutheran church na nimeajiriwa, ninatafuta mme,nimechoka upweke na nahitaji mtu serious anaeishi dar kwa ajili ya ukaribu.thanks.serious issue pls.kama una utani kaa pembeni.nimechoka upweke Loh.
Nb:uwe mwaminifu sio kujileta na madudu yako me too I’m tired of those madudu😓
nilikua na ovaroli limejaa grease hapa asante kwa povu wacha nikafue sasaHoja mufilisi sana hii..eti alikua anaringa!
Ulikua nae?
Yaani hoja ya kitoto sana hiii..
Sasa wewe ulitaka awapanulie wote tu kila anaetaka?
Hakupata mwenye interest sababu anazijua yeye ndio mpaka sasa hivi hajapata ndio maana anatafuta!
Duh
Sababu hii ndio
nilikua na ovaroli limejaa grease hapa asante kwa povu wacha nikafue sasa
una watoto wangapi!Habar!ninaishi dar,I’m 28 years old christian,Lutheran church na nimeajiriwa, ninatafuta mme,nimechoka upweke na nahitaji mtu serious anaeishi dar kwa ajili ya ukaribu.thanks.serious issue pls.kama una utani kaa pembeni.nimechoka upweke Loh.
Nb:uwe mwaminifu sio kujileta na madudu yako me too I’m tired of those madudu😓
Note!!mume lazima awe mkristo tena mcha Mungu will be my first priority,na umri kuanzia 32 plus na sijabagua wa mkoa wowote nimesema ajili ya ukaribu...and I’m too busy so ukija kwangu maanisha maana sina mda wa kuanza kufanya hili ama lile!
Karibu.
Kama matone ya maji yanavyo anguka kidogo kidogo hatimaye yanajaza chungu. Halikadhalika mtu mwenye busara, inajijaza kwake kidogo kidogo kwa kujishibisha mwisho wa siku inamvaa kabisa anakuwa ni mwenye kuishi nayo.1. Huku wengi wanatumia utambulisho badia, waweza kukuta kwenye familia moja kila mtu ni mwanachama kwa siri na ID bandia mwisho wa siku mkakuta mnatongozana na baba yako ama kaka zako
2.Wanaume wa kuoa ni wale unaopishana nao kila siku njiani, ni wale unaofanya nao kazi, ni wale unaosali nao, ni wale majirani zako, ni wale uliosoma nao, ni wale wanaokuja ofisini kwako ama unaowakuta ofisini kwao kwenye majukumu ya kikazi
3.Tatizo lenu hamataki kuolewa na wanaume mliowazoea kwa kuwa madhaifu yao mnaijua, kwa kuwa mnadhani hawana hela, kwa kuwa mnadhani hawana hobi za matanuzi
4. Anza sasa kuwaheshimu wanaume na kila mtu kwani yule unayemtarajia awe mchumba wako sio yeye, wachuma wa kweli wanakupeleleza kimya kimya na wakikuona jinsi unavyoishi , unavyoongea na watu, tabia za marafiki zako, unavyopenda maisha ya juu na ya hanasa wananakokimbia kimya kimya.
5. Kama wewe ni mkristu kama ulivyo sema sasa anza ibada ya kila wakati na ikiwezekana jiunge na kwaya na kule uwe na tabia tofauti kabisa maana kuna vikware vimejificha humo unaweza kuharibu faili lako kabisa.
6. Kama huo mtaa ama mkoa ulipo ulishaharibu na tabia zako zinajulikana basi hama kabisa mkoa kaaze upya na ukifika huko badili tabia maana tuna tabia ya kuwahi mwanamke mpya anayekuja bila kujali huko aliko toka alishaharibu.
Mkisha pataga hao waume mtoe mrejesho maana siku hizi mmekuwa wengiHabar!ninaishi dar,I’m 28 years old christian,Lutheran church na nimeajiriwa, ninatafuta mme,nimechoka upweke na nahitaji mtu serious anaeishi dar kwa ajili ya ukaribu.thanks.serious issue pls.kama una utani kaa pembeni.nimechoka upweke Loh.
Nb:uwe mwaminifu sio kujileta na madudu yako me too I’m tired of those madudu[emoji29]
Note!!mume lazima awe mkristo tena mcha Mungu will be my first priority,na umri kuanzia 32 plus na sijabagua wa mkoa wowote nimesema ajili ya ukaribu...and I’m too busy so ukija kwangu maanisha maana sina mda wa kuanza kufanya hili ama lile!
Karibu.