Natafuta mme

Natafuta mme

Habar!ninaishi dar,I’m 28 years old christian,Lutheran church na nimeajiriwa, ninatafuta mme,nimechoka upweke na nahitaji mtu serious anaeishi dar kwa ajili ya ukaribu.thanks.serious issue pls.kama una utani kaa pembeni.nimechoka upweke Loh.
Nb:uwe mwaminifu sio kujileta na madudu yako me too I’m tired of those madudu[emoji29]
Note!!mume lazima awe mkristo tena mcha Mungu will be my first priority,na umri kuanzia 32 plus na sijabagua wa mkoa wowote nimesema ajili ya ukaribu...and I’m too busy so ukija kwangu maanisha maana sina mda wa kuanza kufanya hili ama lile!
Karibu.
Muwe munajionesha sometimes, coz hii kibubu tu inacost Unaweza kujicoki clear then ukakuta mtu shapeless, my sister hapo utacoz nikucheat afu pia ntakuwa nimekuta loss ya kukutafuta na kuloose time yangu

Muwekage na 4tos attached at least request iwe waz it's hidden still

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama nakuona ulivyokua unaringa enzi za 18-25
Kweli mkuu, wanakuwaga na nyodo kipindi hicho na dreams za kuolewa na wanaume matajiri. Umri ukiyoyoma wanaanza kutongoza wanaume. Nilikua naye na mm, kila Mara hunitongoza wkt tulisha achana. Ni kumkosea heshima mwenza wako kuwa in last choice au option. Yaan unakuwa bora Mume. Nivizuri kuwaheshimu wapenzi wenu wa Muda mrefu. Kuna jamaa dem alimtosa na kuolewa kiss jamaa bado anasoma, jamaa kamaliza kaoa na mambo mazuri mwanamke kaanza kujitongozesha na uhusiano unaendelea, hii nihatari. Wanawake wana akiri fupi, wanaume tuwe making na huwa hawaachagi wapenzi wao wa zamani hata wakiolewa.
 
Madudu ndio vitu gani.????

tuache hayo, nipo hapa Mume unaenitafuta, tulizo la moyo wako.

fanya unitafute whatsapp +1 423 8100490
Upo state gani ili nimtafutie binti yangu?? hahaha natania.
 
hahaha eti mzee mzee
kuna muda wa kutumiana na inafika stage ya mtu kuamua kusettle na mtu mmoja na kujenga nae maisha
mfano mdogo ni kama hapo mtoa ameshajiamulia atafute last opt asettle nae life liendelee
Hiyo Last option ndo wanaume wengi hawaitaki, na akikusoma km unataka kuolewa naye sababu umekosa uliye mtarajia, matatizo yanaanzia hapo. Utajuta. Tuanze kuwafunza watotowetu elimu kuhusu mahusiano, inauma sana binti anafika 50 hajaolewa. Kuolewa sio bahati tunakuaga na malengo makubwa sana wkt ndoa ni maisha ya kawaida unaweza anza na kijana umpendae. Tunaita bahati km yule Dada alieolewa na mtoto wa Malkia wa Ungereza. Ukifikiri mwenye pesa ndo Mr right, unakuja juta uzeeni na kwa idadi wanawake ni wengi almost twice ya wanaume
 
Habar!ninaishi dar,I’m 28 years old christian,Lutheran church na nimeajiriwa, ninatafuta mme,nimechoka upweke na nahitaji mtu serious anaeishi dar kwa ajili ya ukaribu.thanks.serious issue pls.kama una utani kaa pembeni.nimechoka upweke Loh.
Nb:uwe mwaminifu sio kujileta na madudu yako me too I’m tired of those madudu[emoji29]
Note!!mume lazima awe mkristo tena mcha Mungu will be my first priority,na umri kuanzia 32 plus na sijabagua wa mkoa wowote nimesema ajili ya ukaribu...and I’m too busy so ukija kwangu maanisha maana sina mda wa kuanza kufanya hili ama lile!
Karibu.
I am too tired of those madudus,
Nataka mcha Mungu....!?

Duh muwe mnawatunzia basi hao wacha Mungu.
Sio kuwalisha wasio wacha Mungu halafu wakishiba ndio mnawapelekea wacha Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo Last option ndo wanaume wengi hawaitaki, na akikusoma km unataka kuolewa naye sababu umekosa uliye mtarajia, matatizo yanaanzia hapo. Utajuta. Tuanze kuwafunza watotowetu elimu kuhusu mahusiano, inauma sana binti anafika 50 hajaolewa. Kuolewa sio bahati tunakuaga na malengo makubwa sana wkt ndoa ni maisha ya kawaida unaweza anza na kijana umpendae. Tunaita bahati km yule Dada alieolewa na mtoto wa Malkia wa Ungereza. Ukifikiri mwenye pesa ndo Mr right, unakuja juta uzeeni na kwa idadi wanawake ni wengi almost twice ya wanaume
anza hiyo elimu na mie mdogo wako😉
 
Daaa! lovee kipenzi hapa kuna namba za simu moja tu nimeona angalau . kajitahidi sijui hii mitoto mingine ya Jf. ikoje yaani yameonaona tu basi mimi nawaasa huyu dada yuko serious. chukueni mke huyu jamani mtajuta nyie hayaa! jamii forum kuna wake bomba sana.wadogo wangu wanne wamepata humuhumu.
Hongera yao hao wadogo zako
 
Nafikir wanaume sampuli hiyo walishakufa wakati wa vita ya dunia ya kwanza kabisa
 
kuna umuhimu wa kuweka picha maana wengine ni wake za watu wanajifanya wanatafuta waume...kila la kheri mtoa post
 
Mungu akufanikishe hitaji la moyo wako
japo napata wasiwasi
kama umemshirikisha Mungu ktk hili
pili mm naamini hata hapo kanisani kwako unapoabudu kuna vijana ambao hawajaoa sema unaogopa tu kujitongozesha au unaona hawajakidhi vigezo unavohitaji wewe ,,ama unaogopa watakuchukulia vibaya
na kama hawakutongozi jiulize kwanini??

lakini jambo la kuzingatia
KUOLEWA SIO LAZIMA.
sababu wapo ambao hawatapitia kabsa maisha ya ndoa ktk maisha

KUOA SIO LAZIMA

KUOA AMA KUOLEWA NI MPANGO WA MUNGU
Lakini pia kumbka ni bora kuoa ama kuolewa kuliko kuwaka tamaa
kama umechoka maisha ya kumkosea Mungu kila mara tubu kwake na mwambie unahitaji mwanaume wa kujenga nae familia
Mungu ni mwaminifu atajibu maombi yako
nakutakia mafanikio mema dada yngu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahhaaa ushapigwa madudu mpaka umeyachoka sasa unatafuta mume. Alaf you are too busy... Kila la kheri ila mmh 28 yrs... uajuza unakunyemelea
 
Back
Top Bottom