Wadau nina jamaa yangu ana mzigo wa dhahabu anatafuta mnunuzi na pia ajue bei yake kwa gram. Kama yuko aliye tayari humu anijuvye nimwambie alete mzigo. Pia kuna mawe ameniambia filispa???? Anayo tani kadhaa kama mnayafahamu. Mimi siyajui aisee. Thanks.
Naona hakuna humu. Ni wapi basi yanakouzwa madini haya hapa Dar ili nikaulize?
Kuna SD version2 ina makert sana,kuna GPX 4500 na GPX500 hizi zinauzwa kuanzia 7M,kuna GMT machine hizi zinapendwa sana huku kanda ya ziwa zina nunuliwa sana tunauza 2.5M
Wadau nina jamaa yangu ana mzigo wa dhahabu anatafuta mnunuzi na pia ajue bei yake kwa gram. Kama yuko aliye tayari humu anijuvye nimwambie alete mzigo. Pia kuna mawe ameniambia filispa???? Anayo tani kadhaa kama mnayafahamu. Mimi siyajui aisee. Thanks.
Ni mchimbaji mdogo