Natafuta mnunuzi wa dhahabu

Natafuta mnunuzi wa dhahabu

Nyenyere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
14,804
Reaction score
10,715
Wadau nina jamaa yangu ana mzigo wa dhahabu anatafuta mnunuzi na pia ajue bei yake kwa gram. Kama yuko aliye tayari humu anijuvye nimwambie alete mzigo. Pia kuna mawe ameniambia filispa???? Anayo tani kadhaa kama mnayafahamu. Mimi siyajui aisee. Thanks.
 
Ngoja waje wenyewe
 
Naona hakuna humu. Ni wapi basi yanakouzwa madini haya hapa Dar ili nikaulize?
 
Kuna SD version2 ina makert sana,kuna GPX 4500 na GPX500 hizi zinauzwa kuanzia 7M,kuna GMT machine hizi zinapendwa sana huku kanda ya ziwa zina nunuliwa sana tunauza 2.5M
 
Duh sie tusiojua tunatoa macho tu hapa ,maana kuna dhahabu zina majina Kama ya Magari mapka GX 100.

Wadau Biashara hiyo kwa mwenye uwezo nayo na Idea.Mie ningekuwanaijua vizuri ningefanya udalali ila nilivyoona majina tu heee kazi kweli,nisije nikafungwa bure,maana mie najua dhahabu ni dhanabu tu
 
Kuna SD version2 ina makert sana,kuna GPX 4500 na GPX500 hizi zinauzwa kuanzia 7M,kuna GMT machine hizi zinapendwa sana huku kanda ya ziwa zina nunuliwa sana tunauza 2.5M

Mkuu mimi nimeandika kama layman, hapo sijaelewa unaongelea nini hasa na kwa vipimo gani.
 
tatizo mara nyingi biashara ya dhahabu utapeli ni mwing if ipo kweli pig no 0766062128 tuweze ongea personally
 
Sihamini mfanyabiashara mwenye dhahabu akose soko huyu mtu anataka kukuibia tu Nyenyere stukaaaaa!!
 
Wadau nina jamaa yangu ana mzigo wa dhahabu anatafuta mnunuzi na pia ajue bei yake kwa gram. Kama yuko aliye tayari humu anijuvye nimwambie alete mzigo. Pia kuna mawe ameniambia filispa???? Anayo tani kadhaa kama mnayafahamu. Mimi siyajui aisee. Thanks.

Feldspar = Filispa?
 
Huyo kataja mashine dhahabu ipo katika grade,na inategemea inapotoka mfano,nyamongo,kahama,geita etc.namshauri akauzie kwa maagents wa mwanza maana dar asilimia kubwa ni matapeli(si wote).na kuuza kwa nje mnunuzi kuja mpaka awe na uhakika utaweza kumsupply kuanzia kilo 5 kwa wiki hadi 20 nk.na je hiyo dhahabu ipo graded tayari na wapi ameigrade?kama ana uwezo wa kusupply kuanzia kilo 5 per week sawa ila malipo baadae
 
Back
Top Bottom