THabari wana Forum... Ni mkulima ws Tanzania nina lima matikiti kwa wingi .
Kwa sasa nimelima Ekari 3 nina mzigo upo tayari kutoa shamba kwanzia tarehe 15th October 2018 .
Nauza kwa kilo ..kilo moja nauza Tsh 950/= ya tanzania sawa na Ksh40/= ya kenya..
Mzigo upo Kimanzichana, Mkoa wa Pwani
Karibun sana ..
Contact me @ 0714 651 666 or 0625 962883
Kama unataka mzigo pls book mapema ili nijue tunafanyaje..
Tufanye umeshinda...Tanzania hailishi Kenya.Hata Kenya tunalima vyakula vyote.
Acha wivu we nyang'au Kenya kuna njaa ya kufa mtuTanzania hailishi Kenya.Hata Kenya tunalima vyakula vyote.
Baby sio kila mahata ni battle hapa ni biasharaTanzania hailishi Kenya.Hata Kenya tunalima vyakula vyote.
THabari wana Forum... Ni mkulima ws Tanzania nina lima matikiti kwa wingi .
Kwa sasa nimelima Ekari 3 nina mzigo upo tayari kutoa shamba kwanzia tarehe 15th October 2018 .
Nauza kwa kilo ..kilo moja nauza Tsh 950/= ya tanzania sawa na Ksh40/= ya kenya..
Mzigo upo Kimanzichana, Mkoa wa Pwani
Karibun sana ..
Contact me @ 0714 651 666 or 0625 962883
Kama unataka mzigo pls book mapema ili nijue tunafanyaje..
THabari wana Forum... Ni mkulima ws Tanzania nina lima matikiti kwa wingi .
Kwa sasa nimelima Ekari 3 nina mzigo upo tayari kutoa shamba kwanzia tarehe 15th October 2018 .
Nauza kwa kilo ..kilo moja nauza Tsh 950/= ya tanzania sawa na Ksh40/= ya kenya..
Mzigo upo Kimanzichana, Mkoa wa Pwani
Karibun sana ..
Contact me @ 0714 651 666 or 0625 962883
Kama unataka mzigo pls book mapema ili nijue tunafanyaje..
mbona mnauza mchele mbovu madukani?Tanzania hailishi Kenya.Hata Kenya tunalima vyakula vyote.
Tanzania hailishi Kenya.Hata Kenya tunalima vyakula vyote.
Tikitimaji moja inaweza toka 200 kulingana na saizi yake. Retailers wanauza hata nusu mia mbili though it depend on the location. Mashinani ndio wanauza bei ya chini. So ukitaka mnunuzi tafuta majijini utafaidikaAm sorry buddy.. But it sound like you detest my post.. But am not in competition of any here.. Am just here for business in case you are not concern pls make it easy for me..
THabari wana Forum... Ni mkulima ws Tanzania nina lima matikiti kwa wingi .
Kwa sasa nimelima Ekari 3 nina mzigo upo tayari kutoa shamba kwanzia tarehe 15th October 2018 .
Nauza kwa kilo ..kilo moja nauza Tsh 950/= ya tanzania sawa na Ksh40/= ya kenya..
Mzigo upo Kimanzichana, Mkoa wa Pwani
Karibun sana ..
Contact me @ 0714 651 666 or 0625 962883
Kama unataka mzigo pls book mapema ili nijue tunafanyaje..
In Kenya the best food you can get is kidherimbona mnauza mchele mbovu madukani?
Watanzania chukueni tahadhari mkiwa Kenya hotelini usiagize wali hutaweza kula, agiza chakula kingine
Hiyo 200/= ni Ksh ?Tikitimaji moja inaweza toka 200 kulingana na saizi yake. Retailers wanauza hata nusu mia mbili though it depend on the location. Mashinani ndio wanauza bei ya chini. So ukitaka mnunuzi tafuta majijini utafaidika