Natafuta mnunuzi wa Matunda yaTikitimaji kutoka Kenya

Jojo123

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
432
Reaction score
703
THabari wana Forum... Ni mkulima ws Tanzania nina lima matikiti kwa wingi .

Kwa sasa nimelima Ekari 3 nina mzigo upo tayari kutoa shamba kwanzia tarehe 15th October 2018 .

Nauza kwa kilo ..kilo moja nauza Tsh 950/= ya tanzania sawa na Ksh40/= ya kenya..

Mzigo upo Kimanzichana, Mkoa wa Pwani

Karibuni
Kama unataka mzigo pls book mapema ili nijue tunafanyaje..
 
Karibun sana ..

Contact me @ 0714 651 666 or 0625 962883

In Kenya 1kg of water melon goes for 35/- in Nairobi and much cheaper elsewhere. In places like Baringo and the drier parts of Embu for 50/- you can get as much as 10kg. I'm sorry you won't get market in Kenya for water melon. Remember most of Kenya is dry and water melon does best in dry areas.
 
THabari wana Forum... Ni mkulima ws Tanzania nina lima matikiti kwa wingi .

Kwa sasa nimelima Ekari 3 nina mzigo upo tayari kutoa shamba kwanzia tarehe 15th October 2018 .

Nauza kwa kilo ..kilo moja nauza Tsh 950/= ya tanzania sawa na Ksh40/= ya kenya..

Mzigo upo Kimanzichana, Mkoa wa Pwani

Karibun sana ..

Contact me @ 0714 651 666 or 0625 962883

Kama unataka mzigo pls book mapema ili nijue tunafanyaje..

At least a sensible thread.
Sio kama wale wanatuletea mambo hayahusu Kenya hapa.
 
THabari wana Forum... Ni mkulima ws Tanzania nina lima matikiti kwa wingi .

Kwa sasa nimelima Ekari 3 nina mzigo upo tayari kutoa shamba kwanzia tarehe 15th October 2018 .

Nauza kwa kilo ..kilo moja nauza Tsh 950/= ya tanzania sawa na Ksh40/= ya kenya..

Mzigo upo Kimanzichana, Mkoa wa Pwani

Karibun sana ..

Contact me @ 0714 651 666 or 0625 962883

Kama unataka mzigo pls book mapema ili nijue tunafanyaje..

40/= bob ni vigumu upate Soko. Kuna wale wanauza hata 20/=
 
Tanzania hailishi Kenya.Hata Kenya tunalima vyakula vyote.
Am sorry buddy.. But it sound like you detest my post.. But am not in competition of any here.. Am just here for business in case you are not concern pls make it easy for me..
 
Natamani kujua sana namna ya ku approach masoko ya nje ya nchi, ya mazao ya chakula, sijui tuu naanzia wapi, huu uzi ni msaada huu
 
Am sorry buddy.. But it sound like you detest my post.. But am not in competition of any here.. Am just here for business in case you are not concern pls make it easy for me..
Tikitimaji moja inaweza toka 200 kulingana na saizi yake. Retailers wanauza hata nusu mia mbili though it depend on the location. Mashinani ndio wanauza bei ya chini. So ukitaka mnunuzi tafuta majijini utafaidika
 
Kama whole sale ama? Ju huku watermelon zimejaa
THabari wana Forum... Ni mkulima ws Tanzania nina lima matikiti kwa wingi .

Kwa sasa nimelima Ekari 3 nina mzigo upo tayari kutoa shamba kwanzia tarehe 15th October 2018 .

Nauza kwa kilo ..kilo moja nauza Tsh 950/= ya tanzania sawa na Ksh40/= ya kenya..

Mzigo upo Kimanzichana, Mkoa wa Pwani

Karibun sana ..

Contact me @ 0714 651 666 or 0625 962883

Kama unataka mzigo pls book mapema ili nijue tunafanyaje..
 
Tikitimaji moja inaweza toka 200 kulingana na saizi yake. Retailers wanauza hata nusu mia mbili though it depend on the location. Mashinani ndio wanauza bei ya chini. So ukitaka mnunuzi tafuta majijini utafaidika
Hiyo 200/= ni Ksh ?
Sasa mbona zangu ni kubwa sana 8-10kg at a single piece.. Akichukuwa shamban kwangu kwa 30-35ksh akasafirisha let say kila tikiti lika mgharimu 2/= Ksh alafu akafika aka uza 90ksh anapata ziaid ya nusu ya bei aliye nunua profit..

Last year alot of Kenyan were massively coming in our farms here in tizi na walikuwa wakinunua kilo moja kwa 35-38/= Ksh. Ambayo ni saws na 800/= ya Tsh.

Na tuliuza ekari nyingi sana..
 
Na bei ya vitunguu kenya ikoje?ninavyo vingi shambani
 
Back
Top Bottom