Jojo123
JF-Expert Member
- Jan 31, 2013
- 432
- 703
THabari wana Forum... Ni mkulima ws Tanzania nina lima matikiti kwa wingi .
Kwa sasa nimelima Ekari 3 nina mzigo upo tayari kutoa shamba kwanzia tarehe 15th October 2018 .
Nauza kwa kilo ..kilo moja nauza Tsh 950/= ya tanzania sawa na Ksh40/= ya kenya..
Mzigo upo Kimanzichana, Mkoa wa Pwani
Karibuni
Kama unataka mzigo pls book mapema ili nijue tunafanyaje..