Natafuta mpenz jamani

Mimi men wa miaka 25 natafuta msichana wa kuanzia miaka 17-23 awe anajielewa urefu wa kawaida rangi ya kawaida awe simple kuhusu elimu haijalishi sana lakini cha msingi awe na elimu ya kufuta ujinga pia awe single

Single subiria wanao zaliwa sasa hivi, ila waliopo duniani kila mtu ana wake
 
kha! babu jamani Asprin umenifanya nitabasam leo kwakweli
 
Mimi men wa miaka 25 natafuta msichana wa kuanzia miaka 17-23 awe anajielewa urefu wa kawaida rangi ya kawaida awe simple kuhusu elimu haijalishi sana lakini cha msingi awe na elimu ya kufuta ujinga pia awe single
je kama ana elimu zaidi ya kufuta ujinga pia aapply???
 
tehe,aweke namba ya simu halafu kile kidemu chake cha kujifunzia kiione???
 
tena na picha yangu ndio hii....usije ukanicomfyuzi na Madame B.......

Last edited by a moderator:

hahahahah Asprin dogo amechanganyikiwa anataka 3 kwa mpigo
 
Last edited by a moderator:

Haaaahaaaaaaahaa!!!!!! yaani sio siri nimecheka maanake sio utambulisho huo!kweli Asprin jembe kama sio mpini.
 
Last edited by a moderator:
Mimi men wa miaka 25 natafuta msichana wa kuanzia miaka 17-23 awe anajielewa urefu wa kawaida rangi ya kawaida awe simple kuhusu elimu haijalishi sana lakini cha msingi awe na elimu ya kufuta ujinga pia awe single
unasalio la kutosha manake hapa mujini msichana atadai les wig 200,000/= , make up Mac studio fix 70,000/= na pamba za ukweli, voucher na hela za matumizi ya hapa na pale asa can you afford these ? kajipange kwanza other wise utamaliza boom lako bure , hivi vitu bana vinakuja automatically vyenyewe tu vuta subra huenda ukapata ila uwe makini unaweza chunwa hadi boxer chezea watoto wa mujini ohhoo
 
Ibrashinto mimi nataka nikupe ushauri mzuri maana yake mimi mwenyewe nilimpata CUTE hapahapa na ni baada ya kuweka picha yangu halali. Kaa ukijuwa kuwa hapa ndani ya JF kuna wadada kibao sema wanaogopa kupigwa changa la macho so drop your pics hapa jamvini ndani ya nusu sekunde unaweza kupokea pm zaidi ya milioni moja. Believe me i have an experience tayari
 
Last edited by a moderator:
Kuchunwa ni kawaida kwa mwanaume acha ubaili wewe!!! Alaf nimesha drop pic bt ni moja tu
 
Hahahahaha Asprin aliyekuloga atakuwa keshakufa lol......nimecheka sana daah!
 
Last edited by a moderator:

Rudisha avatar bana .....mie kidogo nikusahau!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…