marandu2010
JF-Expert Member
- Aug 7, 2010
- 1,201
- 446
Hi all
Mimi ni mwanamme wa miaka 29,ninatafuta mpenzi wa kike.
1.Awe mwenye mapenzi ya dhati na mwenye kupenda mapenzi ya dhati,na mwenye kuthamini utu.
2.Sichagui rangi,ila kama ni mweupe asiwe amejichubua hata kidogo(awe na rangi aliyozaliwa nayo bila modification yeyote)
3.Asiwe na tamaa ya pesa na mali kuliko utu na kuangalia hali halisi iliyopo.
4.Awe ni mtiifu zaidi kwa mwenyezi mungu kuliko kuwa mdini tu,kwa sababu mm ni mkiristo akiwa mkiristo ni sawa,lakini kama ni dini nyingine na angependa kubaki na dini yake bila kuiathiri imani yangu pia ni sawa.
kwa ujumla hizo ndizo sifa nilizonazo mm na ndizo ninazotaka kutoka kwa huyo mpenzi ninayemtafuta.nawashukuru sana kwa kunisoma,naomba ni PM ikiwa wewe unanihitaji na unaona unazo sifa hizo.
Asante