Natafuta mpenzi aliye na mapenzi ya dhati

marandu2010

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2010
Posts
1,201
Reaction score
446
Hi all

Mimi ni mwanamme wa miaka 29,ninatafuta mpenzi wa kike.

1.Awe mwenye mapenzi ya dhati na mwenye kupenda mapenzi ya dhati,na mwenye kuthamini utu.

2.Sichagui rangi,ila kama ni mweupe asiwe amejichubua hata kidogo(awe na rangi aliyozaliwa nayo bila modification yeyote)

3.Asiwe na tamaa ya pesa na mali kuliko utu na kuangalia hali halisi iliyopo.

4.Awe ni mtiifu zaidi kwa mwenyezi mungu kuliko kuwa mdini tu,kwa sababu mm ni mkiristo akiwa mkiristo ni sawa,lakini kama ni dini nyingine na angependa kubaki na dini yake bila kuiathiri imani yangu pia ni sawa.

kwa ujumla hizo ndizo sifa nilizonazo mm na ndizo ninazotaka kutoka kwa huyo mpenzi ninayemtafuta.nawashukuru sana kwa kunisoma,naomba ni PM ikiwa wewe unanihitaji na unaona unazo sifa hizo.

Asante
 
Kipato chako kwa mwezi? mkristu wa dhehebu gan? wapatikana wap? je watumia kilevi na sigara? una mtoto hata wa kusingiziwa? Elimu yako je? na mwonekano wako??
 
Vipi, unataka kujaribu bahati yako?
 
Kipato chako kwa mwezi? mkristu wa dhehebu gan? wapatikana wap? je watumia kilevi na sigara? una mtoto hata wa kusingiziwa? Elimu yako je? na mwonekano wako??

Shukrani kwa maswali mazuri,siwezi kusema kuhusu kipato hapa,lakini kwa habari ya dhehebu mm ni lutheran,nipo dsm,situmii kilevi chochote wala sigara,sina mtoto hata wa kusingiziwa,elimu ni chuo kikuu bado ninatafuta kazi,ni urefu wa wastani,mweupe na mwili wa wastan.
 
shukran kwa maswali mazuri,siwezi kusema kuhusu kipato hapa,lakini kwa habari ya dhehebu mm ni lutheran,nipo dsm,situmii kilevi chochote wala sigara,sina mtoto hata wa kusingiziwa,elimu ni chuo kikuu bado ninatafuta kazi,ni urefu wa wastani,mweupe na mwili wa wastan.

Huwezi sema kipato kwa kuwa bado unatafuta kazi. Wadada washakusoma. Kwa hapa Daslam.... unalo ndugu yangu.

Kila la kheri.
 
Ikiwa mtu ataangalia kipato kama msingi wa mahusiano,hii si sahihi,kama wadada wengi wana mtazamo huo mm watanikosa hakika,na mm sijutii hata kidogo kuwakosa kwa sababu huo ni ufinyu wa fikra na uhaba wa imani.

Kama wewe unamhitaji mwenye mapenzi ya dhati na unasifa hizo mdada nishtue,lakini kama unamtaka mwanamme mwenye kipato cha dhati watafute wengine mm sina kipato cha dhati kwa sasa kipato kinatengenezwa tu.
 
ikiwa mtu ataangalia kipato kama msingi wa mahusiano,hii si sahihi,kama wadada wengi wana mtazamo huo mm watanikosa hakika,na mm sijutii hata kidogo kuwakosa kwa sababu huo ni ufinyu wa fikra na uhaba wa imani,kama wewe unamhitaji mwenye mapenzi ya dhati na unasifa hizo mdada nishtue,lakini kama unamtaka mwanamme mwenye kipato cha dhati watafute wengine mm sina kipato cha dhati kwa sasa....kipato kinatengenezwa tu.....
Connection error.........
 
Niamkie mimi baba yako. Umri wangu huu mama yako anaweza mke wangu.

Zingatia ushauri wangu baada ya kuniamkia.
 
Kaka huo ujumbe sio kwako ni kwa mabinti na wanawake,usije fikiri nimekugeuza mwanamke,samahani kama nimekukwaza
 
shukran kwa maswali mazuri,siwezi kusema kuhusu kipato hapa,lakini kwa habari ya dhehebu mm ni lutheran,nipo dsm,situmii kilevi chochote wala sigara,sina mtoto hata wa kusingiziwa,elimu ni chuo kikuu bado ninatafuta kazi,ni urefu wa wastani,mweupe na mwili wa wastan.

Umesomeka mkuu
 
nit
Ikiwa mtu ataangalia kipato kama msingi wa mahusiano,hii si sahihi,kama wadada wengi wana mtazamo huo mm watanikosa hakika,na mm sijutii hata kidogo kuwakosa kwa sababu huo ni ufinyu wa fikra na uhaba wa imani.

Kama wewe unamhitaji mwenye mapenzi ya dhati na unasifa hizo mdada nishtue,lakini kama unamtaka mwanamme mwenye kipato cha dhati watafute wengine mm sina kipato cha dhati kwa sasa kipato kinatengenezwa tu.
afute mimi inbox kama kweli upo SIRIOUS
 
Mtafute harmorapa ana dadake kisu balaa ila tatizo lake ana kithembe
 
Back
Top Bottom