Natafuta mpenzi ambae baadae awe mke

Natafuta mpenzi ambae baadae awe mke

Kama katika usomaji wako wote haukuweza kupata mke basi utakuja kumpata ukiwa unaelekea kuzeeka.
 
Naelewa mkuu hujafanya lolote baya. Ila sidhani kama ukristu unakubaliana na matumizi ya identiy ya kughushi.
Mkuu think big,ukristo haukubaliani na kutumia identity ya kugushi ni kweli ila unagushi kwa ajiri ya nini?JF hawakulazimishi kutumia verified ,unauwezo wa kuchagua mimi nimechagua kwa sasa nitumie hiyo,muda ukifika wa kutumia verified nitafanya hivyo kwa sasa sina sababu za kuwa na account yangu verified.
Elewa point yangu ya msingi,najua nitatoa hesabu ya kila kitu ninachofanya,najua Mungu wangu ananijua wala siogopi watu ila Mungu,kwa hiyo najitahidi nisimkosee Mungu,nilkushauri usome post zangu sijui kama umezisoma.
Najua sijajificha mbele za Mungu na chochote ninachofanaya hapa kitatumika kunihukumu kama nikibaya hilo nalijua.
Wewe shida yako naona unatamani sana unijue mimi ni nani ,pole mkuu.Soma post zangu mbona sijajificha.
Sometimes hata kwenye makampuni wanaruhusu kutuma e-mail kama anonymous ili watu wawe huru kueleza kero zao.
Kuna muda wa kuwa wazi kuna muda wa kuwa anonymous kwa wanadamu lakini si kwa Mungu kwani hakuna jambo lilofichika kwa Mungu.Najitambua kuliko unavyonifikiria.
Humu tunahubiri injili kwa sababu wengine wapo hapa jf hawaingii makanisani kwa hiyo tunapenyeza hapa neno la Mungu watu wanabadilika.
 
cephalocaudo nimeangalia tu profile yako ,wewe umeweka umri wako na unakoishi.Moja ya hasara ya kuwa wazi pale amabapo si lazima uwe wazi ni kukaribisha matapeli.Kwa sisi ambao tumepata neema ya kujua mambo fulani,always we keep low profile,kwa nini nitoe taarifa zangu kwenye mtandao kabla sijaombwa?
Kwa nini e-mail address yako ibebe jina lako na mwaka wa kuzaliwa wakati ungeweza kutumia hata zxvy898896@yahoo.com na nyuma ya hii e-mail ukawepo wewe?Sasa matapeli wakiwatapeli mnatafuta chanzo kumbe ulitoa info zako JF au kwenye social media bila kuombwa.
Kwa hiyo mkuu muda huu uko Tanga au?Naamini wewe huna nia mbaya,lakini ukitumia e-mail yako hapa na e-mail hiyo hiyo unatumia kwa biashara zako kisha unafanya mambo ya ajabu hapa kisa una fake id,hujajificha unapatikana.Nakuletea post yangu ambayo niliandika watu hata hawacomment kwani niliwaeleza waache kufanya mambo ya ajabu hapa jf wako wazi na wanaweza patikana muda wowote wakihitajika.
Ingekuwa hivyo wewe usingefanya mtihania wako wa secondary na maeneo mengine ambako hatutumii majina yetu halisi tunatumia namba lakini namba hizo zinatuwakilisha sisi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]

Mkuu mwaka wa kuzaliwa nilioweka jf ni fake na wala siishi hiyo sehemu niliyoandika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuh,kumbe na wewe umo na e-mail uliyotumia hapa si ile iliyoko kwenye CV yako au unayotumia kuwasiliana na jamaa zako in real life?
 
Khaaaa siamini
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
ndio uamin miss mwifwa
 
Duuh,kumbe na wewe umo na e-mail uliyotumia hapa si ile iliyoko kwenye CV yako au unayotumia kuwasiliana na jamaa zako in real life?
Hapa ni mwendo wa fekelo kaka [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ok,ushauri wangu chochote utakachoandika hapa jua utakuwa accountable nacho na fikiria kabla ya kuandika ukijua kwamba haujajificha incase kikiwa ni kitu kibaya.lakini kama unaandika mambo mazuri huna haja ya kuhofia.Be blessed,karibu ibadani kesho mkuu,kwa hiyo hauko Tanga uko wapi?Njoo inbox
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli kutojua kutongoza napo shida kwelikweli, confidence jf unaipata ,unashindwa kuipata kweli huko nje,sasa subiri waje na vituko vyao,all the best though
 
Tupeane ujuzi boss
 
Back
Top Bottom