Natafuta mpenzi ambae baadae awe mke

Natafuta mpenzi ambae baadae awe mke

Mwanaume kaweka uzi wake wanatokea wanaume wengine ndio wanawashwa na uzi wa mwanaume mwenzao.. JF imekuwa ya ajabu ajabu sana, duniani hii kila mtu ama aamuzi yake na matarajio yake. Wanaume wa miaka hii sijui tuna nini. Ndio maaana tabia za kishoga hazihishi.. Hii mada ningetarajia nione wadada wanapigana vikumbo ma maswali lukuki lakini wanaume ndio wamekoma nayo kupa m challange mwanaume mwenzao [emoji2][emoji2]

Level ya civilization yetu ni changamoto sana Mkuu safari bado ni ndefu
 
Back
Top Bottom