Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Amina.hongera we umekuja na id yako ya sikuzote...Mungu akakupe hitaji lako ata usipompata hapa akuonyeshe pengine
Sent using Jamii Forums mobile app
OkKama katika usomaji wako wote haukuweza kupata mke basi utakuja kumpata ukiwa unaelekea kuzeeka.
Haaa haaa kazi kweli anzia hapo hapo [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Amina.
Wewe ushawahiwa ?
Mkuu think big,ukristo haukubaliani na kutumia identity ya kugushi ni kweli ila unagushi kwa ajiri ya nini?JF hawakulazimishi kutumia verified ,unauwezo wa kuchagua mimi nimechagua kwa sasa nitumie hiyo,muda ukifika wa kutumia verified nitafanya hivyo kwa sasa sina sababu za kuwa na account yangu verified.Naelewa mkuu hujafanya lolote baya. Ila sidhani kama ukristu unakubaliana na matumizi ya identiy ya kughushi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]cephalocaudo nimeangalia tu profile yako ,wewe umeweka umri wako na unakoishi.Moja ya hasara ya kuwa wazi pale amabapo si lazima uwe wazi ni kukaribisha matapeli.Kwa sisi ambao tumepata neema ya kujua mambo fulani,always we keep low profile,kwa nini nitoe taarifa zangu kwenye mtandao kabla sijaombwa?
Kwa nini e-mail address yako ibebe jina lako na mwaka wa kuzaliwa wakati ungeweza kutumia hata zxvy898896@yahoo.com na nyuma ya hii e-mail ukawepo wewe?Sasa matapeli wakiwatapeli mnatafuta chanzo kumbe ulitoa info zako JF au kwenye social media bila kuombwa.
Kwa hiyo mkuu muda huu uko Tanga au?Naamini wewe huna nia mbaya,lakini ukitumia e-mail yako hapa na e-mail hiyo hiyo unatumia kwa biashara zako kisha unafanya mambo ya ajabu hapa kisa una fake id,hujajificha unapatikana.Nakuletea post yangu ambayo niliandika watu hata hawacomment kwani niliwaeleza waache kufanya mambo ya ajabu hapa jf wako wazi na wanaweza patikana muda wowote wakihitajika.
Ingekuwa hivyo wewe usingefanya mtihania wako wa secondary na maeneo mengine ambako hatutumii majina yetu halisi tunatumia namba lakini namba hizo zinatuwakilisha sisi.
Duuh,kumbe na wewe umo na e-mail uliyotumia hapa si ile iliyoko kwenye CV yako au unayotumia kuwasiliana na jamaa zako in real life?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]
Mkuu mwaka wa kuzaliwa nilioweka jf ni fake na wala siishi hiyo sehemu niliyoandika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa ni mwendo wa fekelo kaka [emoji23][emoji23][emoji23]Duuh,kumbe na wewe umo na e-mail uliyotumia hapa si ile iliyoko kwenye CV yako au unayotumia kuwasiliana na jamaa zako in real life?
Ok,ushauri wangu chochote utakachoandika hapa jua utakuwa accountable nacho na fikiria kabla ya kuandika ukijua kwamba haujajificha incase kikiwa ni kitu kibaya.lakini kama unaandika mambo mazuri huna haja ya kuhofia.Be blessed,karibu ibadani kesho mkuu,kwa hiyo hauko Tanga uko wapi?Njoo inboxHapa ni mwendo wa fekelo kaka [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa ni mwendo wa fekelo kaka [emoji23][emoji23][emoji23]
Nitaipitia soonsoma hii thread yangu,haikupata comment nyingi kwa sababu niliwaeleza ukweli
No1 kwa sifa anazotaka ni no8 kwake.Namba moja na sita unataka awe nayo yeye, lakini wewe hivyo hauna.
Poa. Tukutane hukoam here naomba uni pm namba ako
Namba 8 amesema ana hofu ya Mungu aliyetuumba.Namba moja na sita unataka awe nayo yeye, lakini wewe hivyo hauna.
Tupeane ujuzi boss[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli kutojua kutongoza napo shida kwelikweli, confidence jf unaipata ,unashindwa kuipata kweli huko nje,sasa subiri waje na vituko vyao,all the best though