Natafuta mpenzi ambae baadae awe mke

JAMANI MM NATAFUTA MTU WA KUDATE NAE
AWE NA SHEP NA SURA NZURI AJE KWA PM
 
JAMANI MM NATAFUTA MTU WA KUDATE NAE
AWE NA SHEP NA SURA NZURI AJE KWA PM
Sifa zote kuu hizo,just for dating?, hatuji sasa humu kuna wife materials tu a.k.a serious na ndoa, siyo wewe unataka utumie tuu,then hayo mabaki umwachie nani??[emoji12] [emoji12]
 
Naelewa mkuu hujafanya lolote baya. Ila sidhani kama ukristu unakubaliana na matumizi ya identiy ya kughushi.
Mkuu huwezi kuiita I'd ya kughushi wakati hakuna sehemu wamesema unaposajili Jf uweke majina halisi. Angekuwa ameghushi kama angeweka I'd hiyo then ajifanye hilo ndio jina lake halisi
 
Mkuu huwezi kuiita I'd ya kughushi wakati hakuna sehemu wamesema unaposajili Jf uweke majina halisi. Angekuwa ameghushi kama angeweka I'd hiyo then ajifanye hilo ndio jina lake halisi
Amri inasema usiseme uongo. Hiyo pekee inatosha kukupa mwongozo pale unalokutana na sites zinazochangia kujisajili majina feki.
 
Amri inasema usiseme uongo. Hiyo pekee inatosha kukupa mwongozo pale unalokutana na sites zinazochangia kujisajili majina feki.
Hapo uongo uko wapi mkuu, kuna mahali amesema hilo ni jina lake? Au jamiiforums wanatutaka tujiandikishe kwa majina yetu?
 
Mungu anaweza akafanya mkakutana na mke/mume kupitia JF!,nyie mnaolalamika hakumpata chuoni ama kusali ampate wake, mnadhania JF kuna mazimwi sio wanawake sisi?? Eti??...
Haha nadhani wamekusikia
 
Hapo uongo uko wapi mkuu, kuna mahali amesema hilo ni jina lake? Au jamiiforums wanatutaka tujiandikishe kwa majina yetu?
Mkuu
uongo ni kutumia jina lisilo lake.

Jf kukutaka utumie jina lako au la sio tija.
 
Mkuu
uongo ni kutumia jina lisilo lake.

Jf kukutaka utumie jina lako au la sio tija.
Suala ni kwamba hakuna uongo, labda ungemuuliza Mtumishi kwa nini anajificha nyuma ya fekero lakini kwamba amedanganya hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…