Mwanaume kaweka uzi wake wanatokea wanaume wengine ndio wanawashwa na uzi wa mwanaume mwenzao.. JF imekuwa ya ajabu ajabu sana, duniani hii kila mtu ama aamuzi yake na matarajio yake. Wanaume wa miaka hii sijui tuna nini. Ndio maaana tabia za kishoga hazihishi.. Hii mada ningetarajia nione wadada wanapigana vikumbo ma maswali lukuki lakini wanaume ndio wamekoma nayo kupa m challange mwanaume mwenzao [emoji2][emoji2]