Natafuta mpenzi ambaye atakuwa mke wangu wa ndoa soon

ubnt

Member
Joined
Jul 21, 2020
Posts
85
Reaction score
56
Habarini ndugu zangu, nimeingia kwenye jukwaa ili kutafuta mpenzi wa kike ambaye ataenda kuwa mke wangu ivi karibuni:

SIFA ZANGU:
Urefu: Ni mrefu wa wastani
Umbo: sio mnene wala sio mwembamba sana.
Rangi: Maji ya kunde
Dini: Christian (RC)
Elimu: Degree 1
Status: Single na sijawahi kuwa na mke wa ndoa wala mtoto.
Shughuli : Nimeajiliwa taasisi binafsi
Makazi: Napatikana Dar es saalam
Age: 30

SIFA ZA MWENZANGU NINAYEMTAKA:
Urefu: wa wastani
Kabila: Lolote
Umbo: Siza ya kati plus Shape nzuri**
Rangi: Yeyote
Dini: Awe Mkristo mwenye ofu ya mungu**
Elimu: Angalau form six, diploma na kuendelea..
Status: Asiwe na Mtoto**
Shughuli: zozote halali za kuingiza kipato
Makazi: Popote ila around Dar itapendeza zaidi
Age: Around 21-30

Note:
**- namaanisha ndio za kuzingatia sana

Aliye serious aje PM, Kama haupo serious please please usije pm.
Asanteni
 
Chura will be added advantejii in your CV so leidi hurry up

.mkuu ulikuwa umesahau hio sifa
 
[emoji28][emoji28][emoji28] Soma tena kaka huyu ni mwanaume anatafuta NKE.
 
aiseeeeeeeee..
 
[emoji28][emoji28][emoji28] Soma tena kaka huyu ni mwanaume anatafuta NKE.
Jizazi. Imebidi nifute na comment yangu kabisa. Ndiyo naamka naona bado niko usingizini. Nanyi ifuteni hiyo comment yangu mliyoikwoti [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Wanaotaka kuolewa mkuje huku, Tender imepatikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…