Natafuta mpenzi ambaye atakuwa mke wangu wa ndoa soon

Natafuta mpenzi ambaye atakuwa mke wangu wa ndoa soon

Bora hawajafuta nami nimesoma.

Shona suti kabisa shemeji ndio huyu hapa.
Suti ipo tayari. Na mchango juu. Ni nyie tu mshindwane. Tena bro yuko vizuri. Milioni 3 take home kwa mwezi si haba aisee. Ushindwe mwenyewe tu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mkuu Kuna nyuzi nyingi humu watu wanatafuta waoaji.
Ungejaribu kuzipitia.
 
Wewe huwa unawazia nini kwa mwanaume?
[emoji2][emoji2][emoji2] Dea bhana, mie licha kuwazia nini kwa mwanaume, by the way hata huyo mwanaume mwwnyewe simuwazii kabisaaa.
 
Your not serias mzee iv unapokea milion 3 bado swala la demu utafte mtandaoni

Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
Hakuna fomula ya kutafuta mke wala mpenzi popote pale utampa ila inategemeana na yeye sasa kama ni wife material kweli au laaa.

Mimi rafiki yangu ameoa mke wake alikua mhudumu wa bar na mwanamke ametulia tu wala hana wenge kama watu wanavyo sema
 
sure.
 
Mmh utakuwa umesomea seminary,mwanaume wa dar taja na kabila basi
 
Back
Top Bottom