Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Suti ipo tayari. Na mchango juu. Ni nyie tu mshindwane. Tena bro yuko vizuri. Milioni 3 take home kwa mwezi si haba aisee. Ushindwe mwenyewe tu [emoji16][emoji16][emoji16]Bora hawajafuta nami nimesoma.
Shona suti kabisa shemeji ndio huyu hapa.
Sasa hebu fanya kunitumia huo mchango kabisa kwenye kale kanamba ka mpesa.Suti ipo tayari. Na mchango juu. Ni nyie tu mshindwane [emoji16]
Nionyeshe pete uliyovishwa na pia nipate mwaliko wa harusi kwanza [emoji16][emoji16][emoji16]Sasa hebu fanya kunitumia huo mchango kabisa kwenye kale kanamba ka mpesa.
Hiyo degree 1 ni ya kitu gani?
Mbona unauliza mshahara tena?
Mshahara wako(Take home) ni kama ngapi?
We toa mchango bwana, acha ubishiNionyeshe pete uliyovishwa na pia nipate mwaliko wa harusi kwanza [emoji16][emoji16][emoji16]
Dea weee unawaza mavumba tyuuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Wewe huwa unawazia nini kwa mwanaume?
Mungu atende miujiza uliye muuliza akujibu swali hili... Nina haja naloWewe huwa unawazia nini kwa mwanaume?
Your not serias mzee iv unapokea milion 3 bado swala la demu utafte mtandaoniCivil Engineering, milion 3 Take-home.
[emoji2][emoji2][emoji2] Dea bhana, mie licha kuwazia nini kwa mwanaume, by the way hata huyo mwanaume mwwnyewe simuwazii kabisaaa.Wewe huwa unawazia nini kwa mwanaume?
Wanakuja kuwa mpoleeeh tyuuhkaribuni
Hakuna fomula ya kutafuta mke wala mpenzi popote pale utampa ila inategemeana na yeye sasa kama ni wife material kweli au laaa.Your not serias mzee iv unapokea milion 3 bado swala la demu utafte mtandaoni
Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
sure.Hakuna fomula ya kutafuta mke wala mpenzi popote pale utampa ila inategemeana na yeye sasa kama ni wife material kweli au laaa.
Mimi rafiki yangu ameoa mke wake alikua mhudumu wa bar na mwanamke ametulia tu wala hana wenge kama watu wanavyo sema