Mtetezi wenu
Member
- Sep 14, 2011
- 84
- 171
Hahahahah me ni mdada bhanaWe kweli ni mdada!?.
Sio kila kitu tumeachana miaka mingi sanaMtafute mliyezaa naye, acha kupoteza muda.......mwanaume ni mwanaume tu, Mzazi mwenzio ndio kila kitu...hebu mtafute
Zingatia umri sina muda wa kulea mwanaume ila nina muda wa kumuenzi mumeDuuuuh zali hili ila utakubali Serengeti boyz nipo
Duuh...haya mdada ila nahisi huyo shemeji utakaempata atachezea sana vitasa!.Hahahahah me ni mdada bhana
Zingatia umri sitaki viserengeti25 ivii[emoji41] [emoji41]
ujapata hadi Leo mkuuWadau mimi ni mdada wa miaka 30 sasa, nina mtoto mmoja ana miaka 12,nilizaa katika umri mdogo ila ndo changamoto na nimekabiliana nayo,natafuta mwanaume ambaye atakuwa partner wangu wa maisha, atakayenipenda, nijali, kunihudumia na kujua majukumu yake katika familia, umri kuanzia 32-45, awe msafi na mwenye kujipenda kwa kifupi totally definition of a gentleman. Mengine tutaongea tukishafahamiana..... Nawasilisha!
Me nakuhudumia huduma za ndoa, kazi yangu ni kutunza familia, kukutunza wewe, kuliwaza na kukupa mawazo mapya ya maendeleo yetu, na kuweka akiba ya familia yetuDuh unataka kuhidumiwa kila kitu apo noma siji uko magu kabana ungesema mshirikian apo sawa
njoo pmWadau mimi ni mdada wa miaka 30 sasa, nina mtoto mmoja ana miaka 12,nilizaa katika umri mdogo ila ndo changamoto na nimekabiliana nayo,natafuta mwanaume ambaye atakuwa partner wangu wa maisha, atakayenipenda, nijali, kunihudumia na kujua majukumu yake katika familia, umri kuanzia 32-45, awe msafi na mwenye kujipenda kwa kifupi totally definition of a gentleman. Mengine tutaongea tukishafahamiana..... Nawasilisha!
Tayari mkuuNaomba uniPm tafadhali kama kweli unamaanisha
Haha umeshindaMe nakuhudumia huduma za ndoa, kazi yangu ni kutunza familia, kukutunza wewe, kuliwaza na kukupa mawazo mapya ya maendeleo yetu, na kuweka akiba ya familia yetu
njoo inboxWadau mimi ni mdada wa miaka 30 sasa, nina mtoto mmoja ana miaka 12,nilizaa katika umri mdogo ila ndo changamoto na nimekabiliana nayo,natafuta mwanaume ambaye atakuwa partner wangu wa maisha, atakayenipenda, nijali, kunihudumia na kujua majukumu yake katika familia, umri kuanzia 32-45, awe msafi na mwenye kujipenda kwa kifupi totally definition of a gentleman. Mengine tutaongea tukishafahamiana..... Nawasilisha!