Natafuta mpenzi ambaye kama tukijaaliwa aje kuwa mume na baba wa watoto wangu

Natafuta mpenzi ambaye kama tukijaaliwa aje kuwa mume na baba wa watoto wangu

Ww dada unaakil cna umejfunza meng cna urahian mm ningekubl ila kigezo cha umr bdo mana km tupo sawa vle ila ww unajua maisha kwa ujumla
Ndalichako njoo huku
 
ukifika 30 hujaolewa ndio ishatoka hiyo ila all the best.
 
Hivi vyeti ingekuwa sio uhakiki ningekuwa nshaula
 
Wadau mimi ni mdada wa miaka 30 sasa, nina mtoto mmoja ana miaka 12,nilizaa katika umri mdogo ila ndo changamoto na nimekabiliana nayo,natafuta mwanaume ambaye atakuwa partner wangu wa maisha, atakayenipenda, nijali, kunihudumia na kujua majukumu yake katika familia, umri kuanzia 32-45, awe msafi na mwenye kujipenda kwa kifupi totally definition of a gentleman. Mengine tutaongea tukishafahamiana..... Nawasilisha!
Nmekuja Mtetezi wenu
 
Kila mdada anayetafuta mume ana mtoto.
Msio na watoto kisha chini ya 25 njooni tafadhali.
 
Wadau,

Mimi ni mdada wa miaka 30 sasa, nina mtoto mmoja ana miaka 12, nilizaa katika umri mdogo ila ndo changamoto na nimekabiliana nayo, natafuta mwanaume ambaye atakuwa partner wangu wa maisha, atakayenipenda, nijali, kunihudumia na kujua majukumu yake katika familia, umri kuanzia 32-45, awe msafi na mwenye kujipenda kwa kifupi totally definition of a gentleman. Mengine tutaongea tukishafahamiana.

Nawasilisha!
Kila la kheri dada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom