Natafuta mpenzi ambaye kama tukijaaliwa aje kuwa mume na baba wa watoto wangu

Ww dada unaakil cna umejfunza meng cna urahian mm ningekubl ila kigezo cha umr bdo mana km tupo sawa vle ila ww unajua maisha kwa ujumla
 
sita subutu kuoa mwanamke alie zaa namtu mwingine kwasababu wanajifanya kukutana kupanga mambo ya mtoto mara wametombana huku wapo kibao do sisubutu hata mjane make mtoto anaweza kuasio wamarehem naogopa masheee kinya
 
Yaani Mie Nataka kuoa atakeye nizidi walau miaka mi3-8 sasa naona Hapo Hata Sitaweza Kigezo Cha Umri
 
Baba yetu aliye mbinguni nwenye kuzijua kesho yetu na shida zetu akakuangazie na kukutizama kwa huruma hata ukapate hitaji la moyo wako.Kunaye mtu mahala anakutafuta mtu kama wewe hivyo kuwa na amani na imani kuwa utapata.
 
Kam kweli basi tutafutane me naishi dar kimara baruti
 
Wanaume acheni ujinga. Hv wooote mnaoomba kupewa pm mna uhakika mnaweza kupendwa woote. Hata hamjiulizi mbona haleti mrejesho wa kustopisha kwanza usaili ili awafanyie interview waliompm?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…