Natafuta Mpenzi asiyependa Ngono

Kwamba wachaga hatukuzaliwa na uume au unaongwa Nini?
Bwashee hivi hujui kuwa hata wadada wa kichaga wamegoma kuolewa na wanaume wachaga wenzao?

Jiongeze sasa na tangazo la kuwa rijali ila wachaga hampo siriasi ktk kugegeda
 
Huyo atakuwa rafiki km msingi ya urafiki ni ngono basi kipaumbele ni hicho
 
Kijana nenda hospital haraka Kwa vipimo una matatizo ya kiafya yani miaka 35 hupendi ngono ,sasa ukifika 45 c hata jogoo atakua hapandi

Kwanza kama mpaka 35 bado anakuja JF kutafuta mpenzi, tayari kuna tatizo.
 
Hili tangazo lipo kimkakati sana
 
wabongo kwenye vitu vya kijinga tunapenda kufanana yaani mtu ukiwa dhaifu, ukiona mtu mwingine sio dhaifu kama wewe inabidi umpakazie ubaya ili kulinda insecurities zako.. Pathetic !!

mbona ni kitu cha kawaida sex drive kutofautiana, kuna wengine siku haipiti
wengine wiki,wengine mwezi na wengine sex drive yao ipo low kiasi kwamba sex hawaioni kama big deal

wengine wapo na majukumu mengi na extremely busy. Sasa mtu anafanya kazi ya kumtoa saa 11, jioni anaunga kwenye biashara zake labda za kumtoa saa tano au saa sita. Huo muda wa kuwa obsessed na sex ataupata wapi kulinganisha na wewe unaetoka job straight kijiweni (napo kumejaa story za ngono), mpirani au bar kushtua mwili na wengine home kutazamana na mtu wako. Uanepukaje kuwaza ngono
 
Ulifanikiwa Blo?
 
Aisee Baba' angu, nakushauri endelea tu na hilo zoezi lako la kuishi single! Kwa huo mtazamo wako, aisee baba' angu utachapiwa kweli kweli!
 
NATAFUTA MWANAMKE ANAYEPENDA TUFANYE BIASHARA TU BASI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…