Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivo ni vitu vidogo sana mkuu, mimi nimebase kwenye future ya wanao.Kaka umeandika point nzuri sana.. asana
Ingawaje mimi nimangalia uhakika wa watoto kula vizuri Kulala pazuri na matibabu bora though wewe umeangalia changamoto ya elimu pekee ila mimi nimeangalia Sector zote nanjinsi nitakavyo pambana wapate vyote kwa usawa mzuri ili wakue bila mm kuwa na stress za kukoza mahitaji yao.
Tusipende hela tupende nini sasa!!!NATAFUTA MWANAMKE ASIEPENDA HELA
M A S H I N ETusipende hela tupende nini sasa!!!
Inalipia bills?M A S H I N E
UKIKOLEA MASHINE BILI TUTASAIDIANA KULIPAInalipia bills?
NATAFUTA MWANAMKE ASIEPENDA HELA
tafuta msenge au jamaa yakoHello guys!
Natafuta bint wa miaka 25-28, elimu form6 mpaka chuo, lengo ni kuanzisha uhusiano na mwishoe tuoane.. ila Moja ya mambo ambayo sipendi sana ni ngono za mara kwa mara.. naamini mapenzi ni zaidi ya ngono kuna furaha zaidi kwakupeana upendo wa mambo mengine kuliko ngono za mara kwa mara..
Umri wangu 35
Elimu yangu Degree( Ila nimejiajiri)
Kabila mchaga,
Naishi Dar es salaam,
Nieleweke vyema mm ni rijali tena sana tu ila sina asili ya kupenda ngono kivile yaan mm na weza kumaliza mwezi sina mihemuko ya kushobokea ngono ingawaje Kila week ukitaka sina shida.. na tukikutana nashughulika haswa mpaka utakimbia ila staki hilo tendo kila mara.
Naamini katika Maendeleo zaidi na kuzaa na kulea watoto.( Kama wewe unapenda sana Sex mimi siyo Chaguo lako?
Idadi ya watoto nitakaye zaa naye ni wa3 tu.. kama unataka zaidi siko tayari lengo langu wanangu wapate huduma zote kwa ufanisi (Elimu, Afya, Mavazi na makazi toshelevu) na nimejitadhimini idadi ya wa3 ndio Uwezo na msimamo wangu.
Kabila la bint liwe lolote .
Ukiwa interested njoo DM kukoment sana kwenye Thread hakuna afya njema kwa post yangu.
Sema huna nguvu za kiume za kutosha game mfululizo hata week tu.Hello guys!

Aaah we!! Ushindwe na upotelee kusikojulikana.UKIKOLEA MASHINE BILI TUTASAIDIANA KULIPA
Kwakweli, thats too much! Yaani tusipende pesa eti[emoji15][emoji15][emoji15]Mnavuka mipaka
Matokeo ya mastabesheni hayaHello guys!
Natafuta bint wa miaka 25-28, elimu form6 mpaka chuo, lengo ni kuanzisha uhusiano na mwishoe tuoane.. ila Moja ya mambo ambayo sipendi sana ni ngono za mara kwa mara.. naamini mapenzi ni zaidi ya ngono kuna furaha zaidi kwakupeana upendo wa mambo mengine kuliko ngono za mara kwa mara..
Umri wangu 35
Elimu yangu Degree( Ila nimejiajiri)
Kabila mchaga,
Naishi Dar es salaam,
Nieleweke vyema mm ni rijali tena sana tu ila sina asili ya kupenda ngono kivile yaan mm na weza kumaliza mwezi sina mihemuko ya kushobokea ngono ingawaje Kila week ukitaka sina shida.. na tukikutana nashughulika haswa mpaka utakimbia ila staki hilo tendo kila mara.
Naamini katika Maendeleo zaidi na kuzaa na kulea watoto.( Kama wewe unapenda sana Sex mimi siyo Chaguo lako?
Idadi ya watoto nitakaye zaa naye ni wa3 tu.. kama unataka zaidi siko tayari lengo langu wanangu wapate huduma zote kwa ufanisi (Elimu, Afya, Mavazi na makazi toshelevu) na nimejitadhimini idadi ya wa3 ndio Uwezo na msimamo wangu.
Kabila la bint liwe lolote .
Ukiwa interested njoo DM kukoment sana kwenye Thread hakuna afya njema kwa post yangu.
Tena inatuna hasa.. tatizo nikisha anza kufikiria Malengo yangu na aina ya maisha niliyo ipanga kichwani mwangu akili yote inaanza kuwaza michongo ya pesa. na nikiwa napambana kwenye mambo ya bishara huwa siwazi ngono kabisa